UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 172
Jamani kisa hiki ni kwa ukweli napia kinahitaji sana ushauri wenu kabla ya kuchukua hatua maana tusipoangalia maisha ya huyu kijana ambae ni mdogo wangu yanaweza kuwa hatarini
kuna kiongozi mkubwa wa kisiasa katika jamhuri ya muungano wa Tanzania sitasema ni upande gani alikutana na mdogo wangu kwenye ziara moja huko huko katika mambo ya kisiasa mdogo wangu alikuwa chuo kikuu UDSM (ni wa kiume) ktk mazungumzo yalikuwa ya kisisasa ila mwisho wa siku likaingia suala la kusoma nje, kiongozi huyo akamuambia kuna ufadhili unaweza kuomba katika serikali ya jamhuri wa muungano wa tanzania mdogo wangu hakuamini akachukua conatact zake akaja akaniambia nilishangaa sana alianzaje kuongea nae maana mimi hata waziri tu sijawahi kukutana nae wakati huo mimi nilikuwa jirani mwa nchi nafanya kazi basi siku zikapita maisha yakaendelea sikujua kilichokuwa kinaendelea ila mwisho wa siku mdogo wangu alinipigia amepata full scholarship kusoma master nje dah nilifurahi sana kusikia hivyo nikampongeza mdgo wangu akaenda kusoma.
VISA vikaanza
mdogo wangu akawa anasoma na anaendelea vizuri na masomo mawasiliano yakawa hayaishi na huyu kiongozi na wakati mwingine akawa anamtembelea kitu ambacho sio cha kawaida ila mdogo wangu alichukulia sawa tu hakujua nini mbele yake sasa ndugu zanguni huwezi amini siku moja kiongozi huyo aliaenda nchi fulani akamwambia unaweza kuja kama mmoja wa wanafunzi wa kitanzania kuja kwenye ziara hiyo mdogo wangu huyo akaenda na aliandaliwa kila kitu kuhusu malazi na chakula ziara ikaisha usiku kumbe hotel walifikia moja kiongozi huyo akaenda chumbani kwake wakaendelea kuzungumza ila mwisho wa siku anasema sijui alitumia nini ila alijikuta asubuhi wote wapo uchi sitasema kilichotokea maana watu wazima mnaelewa sasa basi mdogo wangu alilia sana na akamuelezea asiseme kwa mtu yoyote mdogo wangu akasema sawa ila alinipigia simu analia kuhusu hicho kisa ana hajamuelezea mtu yoyote sijaonana na mdogo wangu bado yupo huko anatarajia kuja sept nina hasira nae sana sana na sijui nikimuona atanieleza nini? hapa nilipo najiwaza inawezekana hata kabla hajaondoka kuna dalili ambazo huyu kiongozi alikuwa anazionyesha kwake ila hakuniambia na kwanini hakuniambia?? halafu kwanini akubali anywe kinywaji ambacho ameletewa chumbani ambacho hajakifungua yeye?? huu ni uzembe mkubwa kwa huyo mdogo wangu. sasa basi hili suala nimeamua kulifanyia kazi nipo tayari kuhatarisha maisha yangu kabisa swezi kuvumilia hata kidogo naomba ushauri ni vyombo gani husika ambavyo nivitumie kufikisha ujumbe?? picha ninazo maana mdogo wangu pamoja na kuamka asubuhi alitumia akili sana kwa kupiga nae picha wakiwa wote na amenitumia ninazo jamani naomba mnishauri kwa busara sana hawa wanakuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kijinga ila wao ndio wanavifanya. ushauri wa busara unahitajika, plz sitarajii mniulize ni nani.