Udahili wa kozi ya magereza kuna kipengele cha udhalilishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udahili wa kozi ya magereza kuna kipengele cha udhalilishaji

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by UKI, Jul 13, 2012.

 1. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Aisee nilikuwa sijui binam yangu alifanya udahili wa kozi ya kwenda kusomea askari magereza alishapita hatua za mwanzo kabisa ni kuingia na kuanza kusoma ila katika kupimwa afya na mambo mengine kuna lingine limenisikitisha swala la kupimwa kama wewe ni mzima au umeshachakachuliwa sehemu zako za nyuma kama ni mtoto wa kiume aisee hili linahusiana vipi na kufanya kazi za uaskari magereza?? Nahisi ni aibu kubwa sana
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,974
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Kipimo hicho ni muhimu kwani atutaki Mashoga kwenye jeshi,Ebu fikiri one day umekuwa mkuu wa gereza alafu una basha mfungwa itakuwaje?
  Mbona hilo lipo karibuni majeshi yote duniani. Pole. Vipi lakini umepass hicho kipengere au?
   
 3. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Absolutely new to me...
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanaogopa isijetokea mtu akaitwa "aunt mzafaru" badala ya "afande mzafaru" afu imagine lile gwaride la miaka hamsini na shenzi pale uwanja wa taifa, afande anapita mbele ya raisi anakatikakatika! !
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kipengele hicho kipo na wala hakidhalilishi kwa sababu moja jeshini hawatakiwi wasengeee. Kwa mujibu wa vyanzo vyangu kipimo hicho hufanywa kwa kuambiwa ukohoe kisha ukikoa kama upo vizuri dhakari ni lazima ishituke kidogo.

  Hili ni kwa majeshi yote yaani kuanzia TPDF, POLICE NA TPS. TPDF ndiyo balaa kabisa wao wanakwenda mbali zaidi.
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inatia kinyaa anapita mjeda na tena siku hizi wapo mitaani tunaishi nao kisha jamaa wanakuambia aiseeee jamaa chakula ya watu!!!!!

  Inajenga picha mbaya sana na jeshi lolote kashfa kama hiyo ikifika na kuthibitishwa kama ni kweli adhabu yake ni kufukuzwa kazi kwa fedheha kwa kulidhalilisha jeshi.
   
 7. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hujatuambia, alishinda hicho kipimo?
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  hilo jeshi limejaa udhalilishaji, wawaachie madaktari wa Magereza au Jeshi
   
 9. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Dah! hapo kwenye blue nimecheka sana
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hicho kipimo ni cha kawaida sana, wakikuta huna "nywele"huko nyuma uko hatarini
   
 11. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  Ni kawaida, kama alikuwa anabandulia imekula kwake.....tena kuna kipindi madaktari wa jeshi, wakina mama ndio huhusika kufanya hiyo kitu, unavua, unageuka halafu unaambiwa kohoa. Usipocheza tu, tayari umesha gawa uroda kwa mwanaume mwenzio.
   
 12. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  hicho mbona kipimo hakina udhalilishaji wowote,pole kama unaliwaaaa?
   
 13. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu alishinda na ndio akatusimulia kilichotokea asingekuwa ameshinda asingetuambia mambo hayo
   
 14. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu alipass sio mimi ni binam yangu.
   
 15. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu sidhani kama uko sahihi ina maana wanaozinyoa ni *******? nahisi kwa yule aliyesema wanakupima kwa kukohoa nahisi ndio sahihi kipimo tosha swala la nywele nahisi wengi huwa tunanyoa kila wiki tuna vipara kabisa maana ni moja ya uchafu ukikaa nayo muda mrefu.
   
 16. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ina maana mkuu hawa walitoa rushwa au imetokeaje wakapita kwenye jeshi na huku kipimo hicho huwa kinatumika inakuwaje hapa? maana kama kipimo ni sahihi ina maana hatutarajii mjenda aliyechakachuliwa
   
 17. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #17
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  mkuu niko sahihi, hebu fikiria "rungu"linapita mara kwa mara kutakuwa na nywele kweli?
   
 18. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #18
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  duh mkuu umeenda mbali aisee mi sijui zaidi doctor labda anaweza kutuhabarisha kama uume wa mtu unaweza kunyofoa nywele sehemu za siri.
   
 19. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  UKI, unafahamu kama hata wanafunzi wa Upadri hufanyiwa uchunguzi wa vitu vinavyofanana na hivyo? Kuna jamaa yangu akijiandaa kwenda shule ya juu ya masomo ya upadri, alikutana na kipimo cha kujua kama 'kitu chake' ni 'hai'. Kwa kuwa mambo ya usenge yamekuwa mengi siku hiz, huenda kipimo kama cha magereza kikawafaa hawa jamaa pia..
   
 20. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Duh! Mi napita tu jamani,sikuwahi kusikia hizi habari tangu nizaliwe.
   
Loading...