Jf apps kwenye iphone imenigomea kwa sasa msaada tafadhali

UKI

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
691
172
Hi jf
natumia iphone 5 nili download apps za jamii forum kwenye simu yangu miezi mitatu iliyopita na ilikuwa inafanya kazi vizuri tu wiki kama mbili hivi nikiifungua inafunguka ila nikianza kuingia kwenye forum tu inapotea nilichokifanya nilidelete nika install tena ikaanza kufanya kazi kama siku mbili tatizo likajirudia sasa nime delete nimeenda kwenye app stores nikaambiwa haipo hiyo apps nifafikiria kuwa labda account yangu ina matatizo nimejaribu kununua wimbo kwenye itunes imekubali na nimejaribu kuwasiliana na hawa jamaa wa apple kuhusu account yangu wamesema iko poa, sasa jamani nifanyeje niweze kuipata tena? Msaada tafadhali
 
ushauri wangu nikwamba si sim zote zinauwezo wa kudownload apps za jf,xo we ipotezee ok bro.
 
ushauri wangu nikwamba si sim zote zinauwezo wa kudownload apps za jf,xo we ipotezee ok bro.

Duh huu nao ni ushauri?. Kama hujui ni bora wewe ungepotezea. mkuu ni kweli hatamimi imenitokea hivyo ilinigomea nikaidelete nilipojaribu kuinstall tena nikakuta haipo app store. Invisible tunaomba ufafanuzi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom