Search results

  1. H

    Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

    Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema. Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini. Natanguliza shukrani
  2. H

    Naomba msaada wa ufafanuzi wa kisheria

    Habari wakuu, kuna mdogo wangu mwaka jana mwezi wa kumi alipeleka maombi ya kazi katika kampuni fulani. Maombi yake hayajajibiwa mpaka leo, lakin mwezi wa sita mwaka huu mdogo wangu alikutana na rafiki yake ambaye alimpa hongera kwa kuajiriwa katika kampuni ile ambayo hata maombi hakujibiwa...
  3. H

    Naomba kufahamishwa juu ya elimu ya QR

    Habari wakuu. Naomba kufahamishwa juu ya elimu ya QT inavyotolewa. Mfano... Jinsi ya kujiunga. Mahali inapotolewa. Vigezo vya kujiunga na hiyo elimu. Inatolewa kwa muda gani. Mtaala unatumika. Kwa kifupi naomba kupata maelezo yote juu ya elimu ya QT. Natanguliza shukrani kwa wote. ###hapo kwa...
  4. H

    Msaada vyuo private vinavyotoa diploma ya md na bado nafasi ipo mwaka 2014/2015

    wanajamvi naomba mnifahamishe vyuo vya private vnavyotoa diploma ya MD na vyenye nafasi ya masomo 2014/2015 thanks wakuu
  5. H

    Msaada kuhusu; land management and valuation.

    wakuu kwa mwenye ufahamu na hii fakati ya land management ant valuation, mtu akshasomea ataajliwa kama nan, pia ajra vp?
  6. H

    Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti

    ndugu wanajamvi kama kichwa habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na pia ntashukuru kama ntapata na contact za vyuo hucka au njia nyingne yeyote ya kuweza kupata fomu...
  7. H

    Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti.

    ndugu wanajamvi kama kicha habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na pia ntashukuru kama ntapata na contact za vyuo hucka au njia nyingne yeyote ya kuweza kupata fomu...
  8. H

    Kujikinga na mvua au kujificha mvua?

    samahani wanajukwaa naomba kufahamu kiswahili fasaha kati ya haya maneno, hivi mtu huwa anajikinga na mvua au anajificha mvua?, nahitaji msaada wenu.
  9. H

    Msaada wa kupata tiba ya Rheumatic fever

    Habari zenu wanajf wote, nafikili kila mmoja anaendelea salama na shughuli zake. Ndugu Wanajf kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu ya kwamba mwenzenu nasumbuliwa na ugonjwa wa Rheumatic fever ambao unansababishia nshndwe kabisa kufanya shughuli zangu KIKUBWA HAPA nlikuwa naomba msaada...
  10. H

    Marafiki WANAHITAJIKA

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishin na ki2 natafuta marafki wa kubadilishana nao mawazo mbalimbali Umri kati ya miaka 19 mpaka 30 napendelea marafki wenye hekima na busara bila kuzingatia dini,kabila,elimu wala jinsia, aliye tayari anipm NAWATAKIA UCKU MWEMA WAPENdwa%
  11. H

    MSAADA JAMAN KORODAN ZOTE MBILI ZIMEVIMBA ZINAUMA,PLEAS pleass

    Wahemiwa jaman naomba msaada wenu mwenzenu toka jana usiku korodan zangu zimevimba zinauma xaana naomba msaada wenu please pleas jamax
  12. H

    Jamani Wanajf Naomba Msaada Wenu.

    Habari za asubuhi ndugu zangu,jaman nina mdogo wangu anasumbuliwa na maumivu ya tumbo upande wa kulia toka mwez april nimejaribu kumpeleka hospital wanaishia kumpa dawa bila kutoa vipimo maalum,kila 2kienda hosp wanaendelea kumbalishia dawa wakat mpaka sasa hajapata nafuu badala yake anasema...
  13. H

    Hodi hodi hodii

    Jamani mimi ni new member naomba mnikaribishe kwenye uwanja huu wa maarifa mbalimbali.
Back
Top Bottom