Msaada wa kupata tiba ya Rheumatic fever

Msaada wa kupata tiba ya Rheumatic fever

HardMartin

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
308
Reaction score
113
Habari zenu wanajf wote,

nafikili kila mmoja anaendelea salama na shughuli zake.

Ndugu Wanajf kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu ya kwamba mwenzenu nasumbuliwa na ugonjwa wa Rheumatic fever ambao unansababishia nshndwe kabisa kufanya shughuli zangu KIKUBWA HAPA nlikuwa naomba msaada kwa wa TIBA yake kwa yeyote anaefahamu pamoja na mambo mengine yanayohusiana na ugonjwa huu.

Natangulza shukrani kwa wote watakaonisaidia.
 
Pole sana kwa Maradhi yako Mkuu.@HardMartin hujatueleza ugonjwa wako umekuanza lini? Historia ya ugonjwa

wako? katika familia yenu kuna mtu yoyote yule aliye umwa na huo ugonjwa kama wako? Je umeshakwenda

hospitali? Umetumia dawa zipi? Na mpaka sasa ulivyotumia hizo dawa kuna dalili yoyote ile ya nafuu? Wewe ni Mwanamke

au Mwanamme? Una mniaka mingapi? Kama

hujakwenda Hospitali usipoteze muda hapa nenda kamuone Daktari upesi kisha uje hapa utupe Feedaback.
 
Pole sana kwa Maradhi yako Mkuu.@HardMartin hujatueleza ugonjwa wako umekuanza lini? Historia ya ugonjwa

wako? katika familia yenu kuna mtu yoyote yule aliye umwa na huo ugonjwa kama wako? Je umeshakwenda .....

Asante Mkuu, kwa mara ya kwanza mwakajana nlianza kuona maumivu kwenye mbavu upande wa kulia na mgongon pia kuna muda nlikuwa nayasikia hata sehemu ya chini ya tumbo upande wa kulia na hayo maumivu yalkuwa yakiambatana na joto kali ktk hzo sehemu husika,nkapimwa x-ray hawakugundua tatizo lolote pia nilipima figo nayo ilkuwa inafanya kaz vizuri, baada ya kuona mambo hayaelewek nkawa natumia.
 
Hakuna alyewah kupata tatzo hli ISIPOKUWA mwaka huu mwez wa 2 mdogo wangu nae algundulika na ugonjwa huu huu , Natanguliza Shukran Kwako Ndugu Nikitegemea Msaada Wako Wa Kiushaur Na Tiba MziziMkavu na wengine wote wenye msaada juu ya hli tatzo langu
 
Last edited by a moderator:
Hakuna alyewah kupata tatzo hli ISIPOKUWA mwaka huu mwez wa 2 mdogo wangu nae algundulika na ugonjwa huu huu , Natanguliza Shukran Kwako Ndugu Nikitegemea Msaada Wako Wa Kiushaur Na Tiba MziziMkavu na wengine wote wenye msaada juu ya hli tatzo langu

Rheumatic fever and its herbal treatments

Introduction

Rheumatic disease is an inflammatory disease that is caused by the streptococcus infection such as scarlet Fever and strep throat. The illness is caused by the streptococcus infection and that illness develops after two or three weeks after the infection. The disease occurs after the throat infection that causes inflammatory lesions especially in hearts and blood vessels. The disease is more common in children between the ages of 5 to 15.

Causes

The causes of rheumatic disease are strep throat and high Fever. In addition, the infections in other part of the body may cause this disease. Swollen, red joints and fatigue are also the causes of the rheumatic disease.

Symptoms

The symptoms that lead to the reason of the rheumatic disease are:
1. One of the symptoms is when knees, elbows, ankles and wrists started too swollen.
2. Pain that migrates from one joint to other joint is one of the reasons.
3. Another symptom is the outbursts of unusual behavior like in appropriate laughing or crying.
4. Chest Pain and shortness of breath is another major cause.
5. The symptom when the patient feels difficulty in swallowing anything.
6. Other major symptoms are nosebleed and skin rash.

Herbal treatment:

Asparagus Seeds, Black Cumin and Fenugreek

Take the equal amount of Asparagus seeds, black cumin and fenugreek and then grind it and swallow three grams of powder each morning with the glass of water. This is one of the best natural herb to control the rheumatic disease and in controlling the swelling.
Garlic
Garlic is also the very useful herb as it has the qualities of antibacterial and it results in cleaning the body and any type of infection, which may exist in the body. You can give a clove of Garlic to the patient thrice the day until the disease recuperates completely.

Root of dandelion

A blend of the leaves and roots of dandelion possess several diuretic properties and is very helpful in providing relief from rheumatic Fever symptoms. In addition, it is also very useful in purifying the kidney and the liver.

Nettle leaves
Another useful natural remedy for the treatment of rheumatic Fever is the nettle leaves. Normally, a paste of theses effective leaves is applied externally on the joints that are affected by rheumaticFever and is very helpful in alleviating pains.

Ramulus cinnamomi
This is one of the greatest natural remedies and is very effective for the treatment of rheumatic Feverand this herb is pungent and sweet to taste.

Caulis spatholobi

Having a harsh taste and mild in nature, this effective herb is very useful for the treatment of rheumatic Fever.
Eucalyptus oil

The Eucalyptus tree and its extracts have been used since long times for the treatment of various diseases. The Eucalyptus oil has also been proved to be very beneficial for treating rheumatic Fever.
One of the many ways to prevent rheumatic Fever is by getting an instant treatment for strep throat and scarlet Fever.

Tumia kila siku Punje 1 ya kitunguu saumu kula asubuhi kabla ya kual kitu na mchana punje 1 na usiku punje 1 kila siku mpaka upone inshallah.

Dawa ingine hii chemsha chai ya Mbadalisini kila siku asubuhi, mchana na usiku kila siku kikombe kimoja.
 
MUNGU akubariki nitaanza mara moja kutumia hzo tiba ulizonishauri ,lve long@Mzizimkavu
 
Mkuu vipi hali yako kwa sasa
Habari mkuu, kiukweli kwasasa bado joints na sehemu mbalimbali za mwili bado zinawaka moto . Maana kiukweli baada ya kutumia dawa tofauti tofaut (sindano miez 6, na dawa za vidonge tofait tofaut) bila kupona maumivu nikaacha tumia dawa kwa miaka 2 coz nilihis may be ni tatizo la kisaikolojia hivyo ndani ya huo muda nikawa nadeal na saikolojia .

Mwisho wa mwaka 2020 baada ya kuona sehemu ya tumbo yale maumivu kama ya moto unababua sehemu ya tumbo yameongezeka kidogo nikaenda hospital nikapima Rhomatoid factor (RF), athritics, vidonda vya tumbo (kipimo cha damu) n.k lakin vipimo vyote havikuwa na shida isipokuwa ilionekana nina damu nying pia.

Wakanishauri nipime na endoscop ambapo niliambiwa walichokiona ni kwamba kuta za utumbo ni kama zimepoteza ile rangi yake natural kiasflan hivyo wakasema ni dalili za vidonda vya tumbo (kwenye cheti wakaandika GASTRITIS kama sijakosea) toka hapo nimekuwa nikitumia dawa za vidonda vya tumbo za hospital tofaut tofauti bila mafanikia yeyote.

KITU AMBACHO SIJAKIELEWA NI KWAMBA, nimepima RF kwa hospital zaidi ya nne na kwote nimeambiwa sina, wakati dalili nilizokuwa nazo kipindi cha miaka ya nyuma ambapo vipimo hospital kadhaa vilionesha nina RF bado zipo (naomba ufafanuzi wataaramu).

HIVYO WADAU NAOMBA mwenye ushauri wowote au ambae anaweza nisaidai dawa inayoweza tibu hii case yangu naomba msaada.
my email: internet030692@gmail.com

Mtanisamehe kwa makosa ya kiuandishi.
 
Habari mkuu, kiukweli kwasasa bado joints na sehemu mbalimbali za mwili bado zinawaka moto . Maana kiukweli baada ya kutumia dawa tofauti tofaut (sindano miez 6, na dawa za vidonge tofait tofaut) bila kupona maumivu nikaacha tumia dawa kwa miaka 2 coz nilihis may be ni tatizo la kisaikolojia hivyo ndani ya huo muda nikawa nadeal na saikolojia...
Ninashauri, popote ulipo fika hospitali umwone daktari, kama utampata physician itakuwa ni vyema zaidi, unapokutana na daktari elezea kwa kadri ulivyoanza kuumwa na usione hiki au kile hakihusiani au hakina msaada, eleza yote anza na yale ya zamani ukija na ya sasa. Ikiwezekana, andika ili uwe na kumbukumbu nzuri ya mambo yalivyotokea. Hii itasaidia kujua ni nini kilianza na labda kukaja matokeo mengine/complication ya kilichoanza.

Pia elezea dawa ulizowahi kutumia. Hii itasaidia kwani mengine yawezakuwa ni matokeo ya matumizi ya dawa.

Usieleze unafikiria tatizo lako ni nini, hayo yaje mwisho baada ya daktari kukusikiliza na kukufanyia physical examination. Mnaweza kujadiliana na daktari anawaza tatizo ni nini? Baada ya hapo utaelekezwa vipimo gani vifanyike na kwa sababu gani?

Baada ya hapo, majibu ya vipimo yatasaidia kujua tatizo la msingi ni nini na nini kifanyike.
 
Pole sana mkuu... Nilitaka kujua Moyo wako sasa upoje? Je zile Valve zilizopo moyoni ni nzima??
duuuh, mkuu kama kuna ushauri wowote naomba unipe ndugu yangu.Hata pm mkuu, it seems kuna kitu naweza funguka zaidi baada ya kusikia ushauri wako pia
 
duuuh, mkuu kama kuna ushauri wowote naomba unipe ndugu yangu.Hata pm mkuu, it seems kuna kitu naweza funguka zaidi baada ya kusikia ushauri wako pia
Sina ushauri hata mimi kuna hint natafuta kwa waliougua Rheumatic fever. Nataka kujua ulipogundulika na huo ugonjwa ulaiambuwa Valve zinazoruhusu damu ni mbovu??
 
Sina ushauri hata mimi kuna hint natafuta kwa waliougua Rheumatic fever. Nataka kujua ulipogundulika na huo ugonjwa ulaiambuwa Valve zinazoruhusu damu ni mbovu??
Hapana, sijawahi ambiwa popote hilo mkuu. Nilifanya vipimo katika hospital 5 tofauti tofaut lakin hakuna sehemu walinambia hilo
 
Back
Top Bottom