Search results

  1. A

    Yona & Mramba case

    Nimesoma kwenye ThisDay leo ANALYSIS: Mramba and Yona’s case: Is this the beginning of the end? IBRAHIM WERREMA THE presidential jet was bought. I am told it is currently not of much use, though! I am told further that the plane is too small, too big and too costly to keep in...
  2. A

    Je, Tanzania bado ni nchi ya Amani?

    Je, nchi yetu bado ni nchi ya amani? Sio watu wameamua kuwa watulivu na ideology ya CCM kuwa Tanzania ni kisiwa cha amani ndo inatawala? Nini hatma ya Tanzania endapo wananchi watachoka manyanyaso? ================ Tanzania no longer heaven of peace? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam ThisDay...
  3. A

    JK Akwama Kwenye Daraja la Mkapa

    ThisDay, May 7th, 2008 ANALYSIS: JK stuck at Mkapa’s bridge? IBRAHIM JOHN Dar es Salaam TANZANIANS have stumbled upon stunning revelations on a sealed chapter of history that was never meant for everyone to read. These accidental revelations have introduced, in true colours, one of...
  4. A

    Class Re-union Moshi Technical (1987)

    CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987) Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na pendekezo hilo pia. Naomba hata wale waliokua vidato vya chini (kidato cha 1 mpaka cha 3) watume majina...
  5. A

    Silence Is Not Always Golden, Mr. President

    The Citizen Article of March 26th 08. Silence is not always golden, Mr President! Someone once said that �Talking is Silver and Silence is Gold�. It�s also known that there�s an exception to every rule. Agreeing with both schools of thought, I intend to...
  6. A

    Mwema, A Barking Dog?

    Mwema alitishia sana kwamba ana orodha ya "wazungu wa unga", na kudai kwamba karibu ataitoa hadharani bila kujali vyeo vyao. Nikajiuliza kwani mkuu wa polisi akiwa na orodha ya wahalifu anatoa vitisho kwanza au anawashughulikia tu?!! Iko wapi? Leo Mwema yule yule anatishia kuwashughulikia...
  7. A

    Tanzania ya Uwazi na Ukweli!!!

    Tanzania ya Uwazi na Ukweli!!! Napata shida sana kuelewa kwa nini watanzania tunahangaika sana, kuzua na kubuni mambo ambayo ni haki ya kila mwananchi. Sijajua kwa nini taarifa za mafisadi zinatolewa kama zawadi za peremende kwa watoto ili kuwahimiza kufanya jambo fulani. Sijajua kwa nini...
  8. A

    Jump TV with TZ TV Stations?

    Anybody with a clue of what happened with Jump TV and Tz TV Stations?
  9. A

    An Open Letter to The President

    An Open Letter to the President [SIZE="4"]Your Excellency, Mr. President, For some reason I thought it’s not good to let the wave of change come to an end without extending a word of congrats to Your Excellency, Mr. President. Bravo for the recent good work in your government. You did it...
  10. A

    Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge

    Nani “Chaplain” wa Bunge Letu? Je, watanzania tunaelekea wapi kama Taifa? Kinachonisukuma kwenye swali hilo ni mwenendo wetu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii ambamo kila tukipiga hatua moja mbele, tunapiga hatua zingine kadhaa nyuma na kutereza. Hili limeendelea kutusumbua watanzania kwa zaidi...
Back
Top Bottom