Class Re-union Moshi Technical (1987)

Advisor

Member
Jan 10, 2008
38
0
CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987)

Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na pendekezo hilo pia.
Naomba hata wale waliokua vidato vya chini (kidato cha 1 mpaka cha 3) watume majina yao kupitia: betapromotions@gmail.com ili wapate taarifa zingine muhimu. Tuendelee kuwajulisha pia wasiopitia mtandao mara kwa mara.
Tunaendelea kupata majina na mapendekezo ya wale wanaotarajia kushiriki.
Ahsanteni sana!
 
Sasa hiyo siyo "class reunion" tena, ipe jina lingine! Alumni association ingekuwa bora zaidi ingewakutanisha wote wa zamani na sasa. Ushauri wangu tu, sihusiki na hiyo shule.
 
Back
Top Bottom