Search results

  1. S

    Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Kachanga karata zake vizuri azidi mkoleza tu maana mwamba yuko hoi ...... hapa bongo wengi wanazungukana tu wenyewe kwa wenyewe kuishia kuchambana .....Heko kwa mobetto amdange kisawasawa
  2. S

    Muda sahihi wa kijana kujenga ni upi?

    Mi nadhani muda sahihi unaendana na priority ya mtu husika pia ,inaweza kuwa ukawa na uwezo lakini priority zako zisiwe kwenye kujenga na inaweza ukawa kwenye nyumba ya kupanga na priority ulizoset zikawa zinakuendea vyema tu na ukajanga kujanga mara moja tu kama kumsukuma mlevi
  3. S

    Watu watano wafariki dunia katika ajali ya gari la abiria na la mizigo jijini Dar es Salaam

    Aisee hii ni habari mbaya sana yakuanza nayo week. Vyombo vinavyohusika wajaribu kuangalia chakufanya ili kuweza kuzuia ajali kama hizi future.
  4. S

    DAWASA acheni kukata kata maji hovyo kwa wateja wenu

    Sasa hivi imezuka tabia ya DAWASA kukata maji hivyo kwa wateja wao bila hata ya mteja husika kuwa na deni la moja. Bill wanamtumia mteja tarehe 17 na tarehe 30 wanamkatia maji tena kwa dharau kubwa ya kutuma vijana wao wanakupigia simu na kusema "tunakata maji" kwa dharau kabisaaa, TABIA HIYO...
  5. S

    Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    Suits Blacklist Travelers
  6. S

    Must see Movies

    Hivi hii unahide your VPN au una ignore unadownload kama kawaida?
  7. S

    SERIES: THE WITCHER

    Wakuu Naombeni link yakuweza kudownload movie/series
  8. S

    Series (Special thread)

    Naombeni sites za kudownload movies kwa Pc
  9. S

    Plot4Sale Nauza eneo Kibaha kwa Matias

    namba ya simu nije kupaona
  10. S

    Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

    OS Cordis silverland wanauza broiler?na kama sio silverland naweza nunua wapi ili kupata matokeo bora zaidi? kati ya broiler na kuloirer(kwa mayai) kama mtaalam unamshauri mtu afanye option ipi? unawaongeleaje sasso?mkuu pm....🙏
  11. S

    Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

    thread bora kabisa snowhite naomba ni pm communication za silverland
  12. S

    Tujuzane tunaoteseka na Mikopo

    Me ndo nataka kukopa niuonje huo uchungu na mimi maisha yenyewe mafupi haya wacha nkajikopeee miee:confused:
  13. S

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Natamani kufahamu unafanya vipi hesabu za dukani kwa ulichouza na kujua kujua faida hasa kama umemweka kijana?unacontrol vipi sales zako za kila siku
  14. S

    Makapuku Forum

    tanteee:)
  15. S

    Makapuku Forum

    nimerudi wifiiii
  16. S

    Makapuku Forum

    nilijificha kidogoo jamanii
  17. S

    Makapuku Forum

    bby girl..
  18. S

    Makapuku Forum

    je suis désolé amor,here i come
  19. S

    Makapuku Forum

    ooh mi amor...te amo
Back
Top Bottom