Eduin
Senior Member
- May 15, 2014
- 189
- 136
Hamjambo,
Leo naomba tupeane hustles baada ya kujikuta tumeingia kwenye mikopo na taasisi za kifedha.
Binasfsii najuta kukopa, japo sikununua gari wala anasa yeyote ninayojilaumu lakini kurejesha nusu ya mshahara kila mwezi kwa miaka mitano inauma sana, wakati mwingine hata nauli inakata yani.
Vipi wewe unaathirika kiasi gani, unajikwamuaje, hali hii mpaka lini?
NIMEAPA NIKIMALIZA MKOPO SIKOPI TENA CHA MOTO NAKIONA.
Nakala kwa NBC bank.