Search results

  1. Nkamu

    Kurusha Jini Kumerudi?

    Salama wakuu? Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mbeya kwenda Dar kwa gari ndogo. Tulipofika Mbuyuni wilaya ya Rujewa, tulisimamishwa na askari wa usalama barabarani. Baada ya kusimama askari akaomba leseni ya dereva. Baada ya kuchukua leseni dereva akaambiwa anaadhibiwa kwa kuendesha gari kwa spidi...
  2. Nkamu

    Kwanini NHC Hawajawekeza Miradi Mikubwa Mbeya?

    Habari zenu wanajf? Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu kwa shirika letu la nyumba NHC. Tangu menejimenti mpya ya akina Mchechu na wenzake ianze kufanya kazi; tumeona mabadiliko makubwa katika utendaji wa shirika hilo, kitu ambacho hakijawahi tokea tangu kuanzishwa kwake. Kitu kinachnitatiza ni...
  3. Nkamu

    Yamenikuta; Sijui nifanye nini?

    Mimi kwa jina naitwa John ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Ninaishi na mke wangu wa ndoa ,na tumejaliwa tumepata watoto wawili, Siku ya Christmas baada ya chakula cha mchana aliniaga akaniambia anaenda hospital kumuona rafiki yake amelazwa nikamruhusu nikamwambia aende lakini awahi kurudi...
  4. Nkamu

    Matumizi ya Picha za Wanyama Katika Fedha za Tanzania

    Amani kwenu wanajamvi! Nimekuwa nikitafakari muda mrefu kuhusu matumizi ya picha za wanyama katika fedha (noti) zetu Tanzania, na sijapata jibu hadi sasa. Nimeangalia katika noti za nchi kadhaa za kiafrika na hata Ulaya na Marekani kote huko sijaona matumizi ya vitu au wanyama kuwa kama picha...
  5. Nkamu

    Malawi hawamwamini ofisa mtanzania kwenye usuruhishi wa mgogoro wa mpaka kwenye ziwa Nyasa

    Waziri wa mambo ya nje wa Malawi bwana Ephraim Chiume ameonyesha kutoridhishwa kwake na mtendaji mkuu wa kamati ya usuruhishi wa mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania. Katibu huyo wa kamati ya usuruhishi Prof. John Tesia ni raia wa Tanzania na ndiye anayesimamia na kuandaa mikutano yote...
  6. Nkamu

    You lazy African intellectual scum! A must read for all!

    Dear Fellow members of JF, I have read this article somewhere and it has impressed me much that I have decided to share with you in this forum. If we change our way of thinking, for sure, w​e can change Tanzania and Africa in general to become industrious and economically independent...
  7. Nkamu

    Msaada Kuchakachua ya Huawei Modem E303

    Salaam Wakuu wote humu jamvini! Nimepata modem mpya Huawei E303 ambayo imefungwa ili itumike kwenye mtandao mmoja tu, sasa katika zama hizi za uhuru kwanini mtu ubanwe. Naomba msaada ku-unlock ili niweze kuitumia nipendavyo. Natanguliza shukrani kwa msaada wenu!
  8. Nkamu

    Uchunguzi wa Kitabibu Unaofanywa na Askofu Gamanywa

    Salamu Wakuu! Naomba kujuzwa kuhusu huu uchunguzi wa kitabibu unaofanywa na vituo hivyi vya tiba mbadala (SNS)vinavyosimamiwa na Askofu Gamanywa, je ni salama kwa afya za watumiaji? Na vinatumia teknologia gani kufanya huu uchunguzi pasipo kutoa sampuli za damu wala mkojo? Naomba kujua...
  9. Nkamu

    Kwanini wakandarasi wa kitanzania hawakui na kufikia kushindana ktk soko la nje?

    Mimi ni mhandisi wa ujenzi (Civil Engineer), ambaye nimekuwa katika fani hii kwa miaka ipatayo kumi hivi. Katika kipindi chote hiki, sijaona kampuni ya kitanzania iliyoweza kupata mafanikio na kukua kiasi cha kuweza kushindana na makampuni yanayotoka nje ya nchi. Nimekuwa nikifikiria sana...
  10. Nkamu

    Msaada jinsi ya ku-extract RAR file lenye password

    Wadau naomba msaada nimekwama! Nili-download kitabu kutoka kwenye ile list aliyotupa mheshimiwa Invisible. Kitabu inaitwa Handbook of Civil Engineering Calculation kimeandikwa na Tyler G. Hicks. Nili-download kikiwa katika .rar format, wakati wa ku-extract inaniuliza password iliyotumika...
  11. Nkamu

    Town Planning Ordinance

    Jamani wadau wa JamiiForum nimekuwa nikatafuta heria hii 'Town and country planning ordinance Cap 378', kwa muda mrefu bila mafanikio. Kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia document hiyo naomba anisaidie tafadhali!
Back
Top Bottom