Msaada Kuchakachua ya Huawei Modem E303

Nkamu

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
223
84
Salaam Wakuu wote humu jamvini!

Nimepata modem mpya Huawei E303 ambayo imefungwa ili itumike kwenye mtandao mmoja tu, sasa katika zama hizi za uhuru kwanini mtu ubanwe. Naomba msaada ku-unlock ili niweze kuitumia nipendavyo.

Natanguliza shukrani kwa msaada wenu!
 
Nashukuru kwa kutonijibu, kwani imenifanya nihangaike mwenyewe na kufanikiwa kuifungua! Sasa hivi nachomoa kisha nachomeka na kubofya mtandao wowote!
 
Salaam Wakuu wote humu jamvini!

Nimepata modem mpya Huawei E303 ambayo imefungwa ili itumike kwenye mtandao mmoja tu, sasa katika zama hizi za uhuru kwanini mtu ubanwe. Naomba msaada ku-unlock ili niweze kuitumia nipendavyo.

Natanguliza shukrani kwa msaada wenu!

Hi unaweza kutembelea tovuti hii Simpleunlocking.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua e303 yako huawei kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom