Search results

  1. John locke

    Kushuka kwa thamani ya shillingi kumenipa faida kwenye Paypal account yangu

    Habari zenu wanajamvi! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, na mnaendelea na shughuli za kila siku za kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Bila kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo juu. Mwanzoni mwa mwezi wa pili mwaka huu nilifanya manunuzi ya kompyuta mpakato kwa...
  2. John locke

    Nikikosa kazi safari hii basi tena!

  3. John locke

    Fahamu kuhusu mafuta ya ubuyu...!jipatie mafuta ya ubuyu kwa bei nafuu...!

    MAFUTA YA UBUYU (BAOBAB SEED OIL) Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu...
  4. John locke

    Fahamu kuhusu mafuta ya ubuyu...! Jipatie mafuta bora kwa bei nafuu ....!

    MAFUTA YA UBUYU (BAOBAB SEED OIL) Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini. Mafuta ya ubuyu yana ubora kuliko mafuta mengine ya kupikia, yana vitamin A, B, C, D na F. Pia yanatibu...
  5. John locke

    Usb tv tuner for pc inahitajika.

    HABARI JF MEMBA, Mimi natafuta bidhaa inayofanana na hizo picha ili niweze kuangalia tv channel kupitia mawimbi ya satelite kwenye kompyuta yangu. Naomba kwa yeyote anayefahamu sehemu ambayo naweza pata hiyo tv tuner device hapa Tanzania anisaidie. Natanguliza shukran!
  6. John locke

    Meli ya mafuta yateketea kwa moto kisiwani mafia.

    Meli inayofahamika kama Bahara. Iliyokuwa imebeba mafuta lita elfu 50,000 za dizeli. Mali ya TANESCO. Chanzo cha moto ni gari iliyokuwa imebebwa ndani ya meli hiyo. Inasemekana kuwa wakati wanaifanyia testing gari hiyo sparks zilitoka na kusababisha moto.
  7. John locke

    Welcome 2 the 21st century!

    Our phones~wireless! Cooking~ fireless! Cars~keyless! Food~ fatless! Relations~ meaningless! Dress~ Sleeveless! Youth~ Jobless! Children~ Mannerless! Education~valueless! Nawasilisha wakuu mchangie ...!
  8. John locke

    Msaada: Jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bidhaa zitokanazo na taka za karatasi

    Habari wana JF! Nafikiri wengi tutakuwa tumeona katika maeneo mengi ya nchi hii watu wakusanya vyuma chakavu na plastiki kwa ajili ya kurecycle na kutengeneza vitu vilivyo bora zaidi. Hapa sehemu ninayoishi nimegundua uwepo wa taka nyingi za...
Back
Top Bottom