John locke
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 837
- 1,292
Huwezi kosa aiseeee
Hii kali, hapo hachomoki mtu! Maushahidi tosha.
shida siyo nafasi bali idadi wa wasio na kazi. Post moja inaweza kuombwa na watu zaidi ya 100 na kati yao wapo wenye kufahamiana na "interview panel"
mokala1989 wewe bado unaenda kuulizwa "can impress this panel that you are better than the rest of applicants for this position?"..............................mimi nilishaacha niko www.vabusiness.co.tzinabidi tutumie elimu zetu kujiari mkuu!
Hii kali, hapo hachomoki mtu! Maushahidi tosha.