Msaada: Jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bidhaa zitokanazo na taka za karatasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bidhaa zitokanazo na taka za karatasi

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by John locke, Jun 12, 2012.

 1. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 600
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 180
  Habari wana JF! Nafikiri wengi tutakuwa tumeona katika maeneo mengi ya nchi hii watu wakusanya vyuma chakavu na plastiki kwa ajili ya kurecycle na kutengeneza vitu vilivyo bora zaidi.

  Hapa sehemu ninayoishi nimegundua uwepo wa taka nyingi za karatasi ngumu. Naomba msaada wenu naweza kujiajiri vipi kupitia hizi karatasi ngumu? Kuna mtu ameniambia naweza kuzitumia kutengeneza mkaa lakini hakunipa taarifa za kutosha.

  Hivyo basi kwa mwenye ideas ni vipi naweza recycle hizi karatasi ngumu na kupata kitu chenye manufaa zaidi naomba anisaidie. Nawasilisha
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Jinsi ya kutengeneza mkaa kwa karatasi. chukua karatasi, maboksi , magazeti etc yaliyotumika,chana vipande vidogo vidogo na viloweke kwenye maji kwa siku mbili huku ukihakikisha umevikoroga hadi upate uji mzito au kitu kama ugali laini.

  siku ya tatu chukua uji/ugali huo wa makaratasi weka kwenye mashine kama ile ya kutengeneza tofali za cement + udongo , kamua huo mchanganyiko hadi maji yote yatoke, toa vitofali hivyo na vianike juani hadi vikauke. Huo ndio mkaa wa karatasi.

  Tatizo hapa ni jinsi /wapi pa kupata mashine hiyo ya kukamua yenye uwezo wa kutengeneza viblocks (charcoal Briquettes) kwa wingi kwa wakati mmoja.
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu umefikiria mambo ya maana sana, njia za asili ni kama hizi
  How to make charcoal briquettes from agricultural waste - YouTube na hii http://www.youtube.com/watchv=otVhpDSbHZk&feature=related
  hii nayo ni nzuri
  Coal Dust Brick Manufacturing - YouTube

  kutumia machine Briquette Press, Briquette Machine, Charcoal Briquette Machine,Biomass Briquette Machine - YouTube

  TANZANIA kuna fursa nyingi sana za kujiajiri kwa kutumia akili na ubunifu... kama upo serious, hili deal litakufikisha mbali sana kwa muda mfupi. Mafanikio mema, nimejifunza kupitia idea yako
   
 4. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 600
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 180
  ahsante mkuu!
   
 5. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 600
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 180
  ahsante kiongozi!
   
 6. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nimejifunza kitu hapa.
   
 7. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 600
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 180
  Wakuu naomba mnisaidie details wapi hapa bongo naweza pata charcoal briquette machine ambazo ni locally made zenye bei nafuu. Maana nimejaribu kupita kwenye mitandao tofauti tofauti bei yake ina range from 1000-3000 US dollars. Natanguliza shukrani.!
   
 8. MamaEE

  MamaEE Senior Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna sehemu Moshi wanatengenez... nafikiri ni kule chuo cha kilimo. Nitajaribu kuulizia
   
 9. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2014
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mkuu Narubongo na wadau wengine... Binafsi nafikiria kuwa na mashine ya kuzallisha bahasha za karatasi kwa matumizi mbalimbali uraiani kwa kutumia karasi zilizotumika. Nimewaza hivyo baada ya kuona tangazo la kTanpack la kutangaza kununa karatasi zilizotumika... kilchonikata shauku ni bei ya manunuzi na kwa tani ya karatasi hizi... bei yao ndogo...

  Nitashukuru mkinipa mwongozo sababu ni aina ya kazi naweza hata kuifanya katika muda wangu wa ziada nikiwa nyumbani... Ahsanteni na nawakilisha
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2014
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,087
  Likes Received: 6,553
  Trophy Points: 280
  Elimu nzuri sana. Je hizo mashine wapi naweza pata hapa tz?
   
 11. r

  reen elius em Member

  #11
  Sep 9, 2014
  Joined: May 17, 2014
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Unaeza kutengeneza mkaa wako kwa. Mkono bila. Hata hzo mashine kwa ambao hawawez. Ku afford kununua mashine,
   
 12. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2014
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 680
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Na sio mkaa pekee unaoweza tengeneza , unaweza ku re-cycle hizo karatasi na ukapata karatasi moya ambazo watu wa art nd craft huwa wanazitumia kutengeneza bizaa tofauti
   
 13. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2014
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Je? Kuna mashine yoyote inayohitajika kuweza kuzitengeneza karatasi hizo ili watu wa art wanunue.
  Nalog off
   
 14. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2014
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 680
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Zipo ila unaweza anza na local made na baadaye una upgrade baada ya kuwa na uhakika wa soko
   
 15. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2014
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  nami nahitaji mashine hizo za kutengeneza bahasha kwa anayejua tafadhali anijuze pia hapa
   
 16. Shy land

  Shy land JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2014
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 5,933
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kama darasani vile!
  hongera sana mkuu.
   
 17. geofreyngaga

  geofreyngaga JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2014
  Joined: Sep 7, 2014
  Messages: 383
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  Any feedback kwa yeyote anaejiusisha na hii biashara!!!
   
 18. M

  Mungumaji Member

  #18
  Dec 18, 2014
  Joined: Oct 14, 2014
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni wakuu kwa fursa.
   
 19. M

  MWANANCHI MUSOMMMA JF-Expert Member

  #19
  Dec 19, 2014
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 339
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana jamii forum kwa elimu ninayoipata KILA SIKU HUMU NDANI YA MJENGO..
   
 20. Crocodiletooth

  Crocodiletooth JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2016
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 9,650
  Likes Received: 3,503
  Trophy Points: 280
  books covers
   
Loading...