Search results

  1. Matemu

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mkuu kama upo dar nenda pale Scope maeneo ya maroco yanapopaki magari ya mchanga.Utapata kwa uhakika huduma unayoihitaji..
  2. Matemu

    Ripoti ya Jopo la Wataalam wa UN juu silaha Haramu DRC

    Membe sijui anajua hizi taarifa kweli au analipuka tu na kutoa majibu ya jumlajumla..Atulie wafanye uchunguzi wabaini ukweli,hajui kuna mengi yanayofanyika nchini ambayo hayajui??? Au anayajua fika lakini machoni pa mataifa wanataka kuonekana safi??? Ila si ndiyo viongozi wetu walivyo,kuukataa...
  3. Matemu

    Aibu ya Tanzania yaanikwa uwani

    Da mkuu hii makala inasikitisha sana aisee..Sijui kama hii kitu ya Millenium Development Goals itatimizwa Tanzania hata ifikapo mwaka 3000 kama system ya uongozi tuliyonayo itakuwa ya sampuli ya Kikwete.Hivi inaingia akilini mtu kusimama kuwaambia WANANCHI kuwa ziara yako imetoa matunda ya...
  4. Matemu

    AG Werema na DPP Feleshi wanamwogopa Rostam?

    [/B][/I] Hapa mkuu umemaliza kila kitu.No doubts
  5. Matemu

    Padri Karugendo: Spika huyu si bora kwa Bunge la Wananchi!

    Hivi ukiwa Padri huruhusiwi kukemea maovu hata ndani ya serikal?i nahisi wadau wanafikiri utendaji wa Serikali ni Siasa nini???? Hivi hakuna mpaka kati ya Serikali na siasa?? kama ndivyo basi watendaji wote ni wanasiasa. Inaelekea wadau wengine humu hawamjui vizuri PADRE (Ingawa siku hizi...
  6. Matemu

    Sex characteristics.

    Sex is like a restaurant sometimes you get good services Sometimes bad servces and sometimes no services BUT Many time you have to happy with self services.....
  7. Matemu

    Udsm na kufukuzwa kwa wanafunzi 2000

    UDSM NA KUFUKUZWA KWA WANAFUNZI 2000 Utawala wa chuo kikuu cha UDSM kimetoa tamko la kuwafutia udahili wanafunzi wapatao 2000 kwa kile kinachodaiwa ni utovu wa nidhamu.Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Makamu mkuu wa chuo hicho anayeshughulikia masuala ya Taaluma na Utafiti...
  8. Matemu

    Kwa nini viongozi hawataki kukutana na wanafunzi wa elimu ya juu?

    Nasikitishwa na kufadhahishwa sana na hali tete inayoendelea hivi sasa katika taasisi zetu za elimu ya juu nchini.Hali ya migomo na kutishia kutoingia madarasani kunapofanywa na wasomi wetu limekuwa jambo la kawaida hivi sasa kiasi kwamba inapopita miezi sita bila kusikia taarifa hizi inakuwa...
  9. Matemu

    Cheche Mitaani: Tume yawanyoshea kidole NSSF!

    Bi Senti 50 ulikuwa hutaki Mwanakijiji ashupalie jambo hili kwa mantiki ipi? Ndo maana tokea mwanzo tulisema kwa kuwa vifo hivi vimetokea Tabora na siyo Dar basi tukaushe tujifanye ni kudra za Mwenyezi Mungu tu. Bi Senti 50 shukuru Mungu ni Tanzania unapoweza kujikausha na kujifanya...
  10. Matemu

    Jukwaa la Wahariri lamfungia Mkuchika; latoa ripoti ya Tarime

    MWANAKIJIJI NAOMBA NIKUULIZE SWALI HILI. JE VYOMBO VYA SERIKALI KAMA TBC 1 and 2 VINAHUSIKA KATIKA SUALA HILI?? AU NI VYOMBO AMBAVYO HAVIPO KATIKA MUUNDO WA JUKWAA HILI.NACHANGANYIKIWA HAPAA JAMANI.
  11. Matemu

    Air Bus Yapata hitilafu: Nani awajibike?

    Nimeshukuru sana kwa kukumbuka makala ya mwanakijikiji Especially wakati Waislam wenzetu walipokwama kwenda HIJJA MAKKA.Alijadili sana Uzembe wa mkurugenzi wa ATCL Lakini kama kawaida yao huwa wanajiona kama hawana makosa.YAANI ATCL ni kama imekufa vile sasa hivi HAINA TOFAUTI SANA NA RELI YA...
  12. Matemu

    Serikali isilaumiwe kwa hali ngumu ya maisha-JK

    Alisema pamoja na kuwepo kwa msukosuko huo wa uchumi wa dunia, hata hivyo serikali bado haijaanza kujipanga kukabiliana na hali hiyo lakini baada ya miezi michache ijayo athari zitaanza kujitokeza. Hata hivyo, Rais Kikwete alisema serikali inaendelea kutafakari ni jinsi gani itaikabili hali...
  13. Matemu

    Hivi Ni Kweli Hii

    Nashtuka kuona wizi unafanyika kimachomacho tena mchana kweupeeeee.Hivi wajameni naomba kuuliza HIVI BONGO USALAMA WA TAIFA UNAFANYA NINI MBONA HAWAWAKAMATI WEZI KAMA HAWA??????
  14. Matemu

    Mgomo wa waalimu ni halali

    Walimu tupo nyuma yenu katika mgomo huu.Nimefurahi kusikia walimu mwaka huu hamna utani na serikali katika kudai stahili yenu.Kwanza huwa najiuliza hivi serikali inaona uzito gani kuwaomba msamaha walimu kwa kuwacheleweshea malipo yao halali? Halafu inakuja juu na kuwatishia kana kwamba wanadai...
  15. Matemu

    Vifo Tabora: Uongozi wa NSSF Makao Makuu Uwajibike

    Mwanakijiji umenenaa ni lazima bwana mkubwa awajibike wengi wetu huwa tunafikiri uwajibikaji kwa watendaji wakuu hutakiwa kuwapo pale tu endapo viongozi hao wanahusika moja kwa moja na tukio husika.Hii ni nadharia potofu sana na isiyofaa kupewa nafasi kwa sasa. Makosa...
  16. Matemu

    Mwanyika aongea...

    bado nastaajabu namna serikali yetu inavyozidi kutoa majibu ya kitoto kuhusu wizi mkubwa kama huu.Hata hivyo tokea mwanzo nilijua hakuna hatua zozote kubwa zitakazochukuliwa. UNAJUA KWA NINI? MAFISADI NDO HAOHAO WALIOPO KWENYE HIYO TASK FORCE[/SIZE]
Back
Top Bottom