Search results

  1. dickchiller

    Mobile application developer

    Programmer atengeneze app ya kuzuia kudownload pic au video moja zaidi ya mara moja maana picha ya lissu nishafikisha 1gb kwa picha ile ile. Nadhani itanunuliwa hiyo app
  2. dickchiller

    Hizi gharama nyingine sijui itakuaje hawana hii

    Wakati gharama ya kodi, umeme na maji kuwa bado changamoto leo watu serikali ya mitaa wamepita wanasema kesho ni deadline kunagharama ya ulinzi shirikishi sasa polisi wanafanyakazi gani? Kodi tunazolipa zinakazi gani? Hapo sijaweka gharama za takataka . Serikali wawaangalie jinsi ya kujikimu...
  3. dickchiller

    Tuache utani: Dini ni matendo sio maneno tuu

    Kuna baadhi ya watu wameokoka na hawakosi kanisani jumapili na mara nyingine jioni lakini nafsi zao sijui zikoje maana roho mbaya pamoja na kupenda hela kupita kiasi ukiwa mtoaji yeye anakuona bora. Kwenye mazungumzo utasikia mi mlokole hadi mtu unashang'aa. Jamani dini ni matendo sio...
  4. dickchiller

    Malalamiko juu ya malipo kwenye visumbuzi (DECORDER)

    Imekua kawaida kulipia kifurushi kulipia ksumbuzi kila mwezi bila kuangalia uhalisia kuna kipindi kirefu unakua hauko maeneo ya nyumbani na wakati mwingine hakitazamwi kabisa na baada ya mwezi unaitajika kulipa tena. Msingi wa lalamiko langu ni kwa visumbuzi visiwe zinahesabu muda kwa maana...
  5. dickchiller

    Maoni ya mkurugenzi wa Acacia juu ya mikataba ya madini

    Boss wa ACACIA anasema wazi kuwa mikataba tuliyoingia nao ilikuwa legal lakini haikuwa ya faida kwa Tanzania.* “The industry can be its own worst enemy when it sits down and agrees these terms, it’s gonna come back and bite us. And in this case it has,” Gordon says. Those early arrangements...
  6. dickchiller

    Tetesi: Inasemekana sportpesa watakua wadhamini wa simba na yanga

    Habari zisizo rasmi inasemekana kua sportpesa watakua wadhamini wa klabu kongwe hapa nchini zinaenda mbali zaidi kua yanga wamepata mkataba mnono kuliko simba . Je yule aliesema tatizo ni umbumbumbu yuko sahihi
  7. dickchiller

    Kipa wa mbao akutwa na tuhuma za mlungula

    Kipa wa Mbao FC, Erick Ngwengwe amesimamishwa kuitumikia timu hiyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuhujumu timu katika mechi yao dhidi ya Simba. Mechi hiyo ilichezwa juzi Jumatatu kwenye uwanja wa CCM Kirumba ambapo Simba ilishinda mabao 3-2. Baada ya mechi hiyo kuliibuka taarifa za kwamba...
  8. dickchiller

    Nitawezaje kubadili lugha kwenye d link dap 1360 (wireless devices) naomba msaada

    Wadau ninafanya configuration d link dap 1360 lakini back end lugha ya kichina. Nataka kubadili lugha ya kichina kuwa kiingereza nifanyeje?
  9. dickchiller

    Jinsi gani ya kuunganisha Cctv?

    Naomba msaada ni jinsi gain naweza unganisha CCTV cameras kutoka kwenye majengo tano tofauti yawe yana display kwenye monitor Moja?
Back
Top Bottom