Jinsi gani ya kuunganisha Cctv?

Jinsi gani ya kuunganisha Cctv?

dickchiller

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,847
Reaction score
3,152
Naomba msaada ni jinsi gain naweza unganisha CCTV cameras kutoka kwenye majengo tano tofauti yawe yana display kwenye monitor Moja?
 
Naomba msaada ni jinsi gain naweza unganisha CCTV cameras kutoka kwenye majengo tano tofauti yawe yana display kwenye monitor Mona?
./ mimi nadhani kwanza kabisa DVD ile lazima iwe ina channel za kutosha ili uonganishe hizo camera zote ktk monitor moja. kuna DVD zinachukua 8 channel maana yake unafix 8 camera....kwaiyo kawaida la muhim fikisha cable tu. Thanks
 
Una maanisha dvd au dvr?
 
Nimekuelewa dvr je umbali mrefu hauwezi kuwa affect quality ya picture maana hizi cable za RG59 zinaweza leta clear picture kwenye mita zaidi ya 500
 
Naomba msaada ni jinsi gain naweza unganisha CCTV cameras kutoka kwenye majengo tano tofauti yawe yana display kwenye monitor Mona?

Hapo lazima kila jengo lazima liwe na dvr anbayo imeunganishwa kwenye router ambayo ina internet, baada ya kuzifanyia setting unaweza kuzi remote online ukiwa sehemu yoyote duniani.
 
Nimekuelewa dvr je umbali mrefu hauwezi kuwa affect quality ya picture maana hizi cable za RG59 zinaweza leta clear picture kwenye mita zaidi ya 500

Mita 500 ni mbali sana, unaweza kutumia utp cable ambayo imetengenezwa kwa coper yenye ujazo wa kutosha, ila maximum ni mita 300. Ukitaka kwenda 500 lazima uweke repeter au switch.
 
Ili upate majibu stahiki, majibu ya maswali haya yanahusika..

1. camera zako ni IP ama DVR controlled
2. Majengo yako yapo umbali gani toka yenyewe kwa yenyewe.?
3. Sasa hivi majengo hayo yanawasiliana vipi(Networkwise).?
4. Wewe ulikuwa unafikiria kutumia plan gani kufanikisha hili.?

Wakati ukijibu hayo weka akilini
1. Camera zinagenerate trafic kubwa sana kama zikisetiwa katika resolution kubwa.
2. Attenuation na Losses zinasababishwa kwa kiasi kikubwa sana na distance ya cable zako.
 
Mita 500 ni mbali sana, unaweza kutumia utp cable ambayo imetengenezwa kwa coper yenye ujazo wa kutosha, ila maximum ni mita 300. Ukitaka kwenda 500 lazima uweke repeter au switch.

Mita 500 ni mbali sana kutumia coaxial/ethernet cable, option ya pili kwa mdau ni. Kama kamera zako ni za network, na unataka monitor hizo kamera katika hayo majengo mawili tuu. Basi waweza funga microwave transmission link kutoka ghorofa moja kwenda jingine. Zipo TX radio za bei rahisi. Gharama yake yweza kuwa chini ama sawa tuu na coaxial cable ya kutosha mita 500.
 
Back
Top Bottom