Search results

  1. emma115

    Fahamu Herufi “Y-U-H” kwenye Laptop

    Wakuu habari za muda huu. poleni na pia hongereni kwa majukumu ya kila siku Kama ulivyoweza kusoma kicha hapo juu, leo nitaenda kukujuza maujanja ambayo inawezekana ulikuwa hujui kuhusu laptop. Maujanja haya yatakusaidia sana pale unapotaka kununua laptop hasa hapa nchini Tanzania. Ukweli ni...
  2. emma115

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    9-6-2019 Next 14:00pm Molleker Rudolf Vs Robredo Tomy 1. 1.63 x115,000 =187,450 Faida 72,450 Tukutane baada ya matokeo Game nyingine saa moja analysis zinaendelea kufanyika
  3. emma115

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mambo yameenda vizuri kama tulivyotegemea kumbuka tumeanza na Tshs 150,000 Leo hii baada ya matokeo yote tumefikisha Tshs 237,500 Tukutane kesho asubuhi baada ya analysis za mechi zenye possibility kubwa 90% ya kushinda. Target ni kufikisha angalau Tshs 900,000 Mwezi huu Kumbuka tumeanza na...
  4. emma115

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    8-06-2019 Tunaanza na mtaji wa Tshs 150,000/= 16:00 Iceland Vs Albania. 1. 1.65. X Tsh 50,000 =82,500 16:00 Croatia Vs Wakes 1. 1.59 X Tsh 50,000=79,500 11:30am Robredo T -Vavassori 1 1.51 X Tsh 50,000=75,500 Mategemeo ni kupata Tshs 237,500 Ambapo faida itakuwa Tshs 87,500...
  5. emma115

    JONATHAN SITOSAHAU 1

    Jifunze jambo katika maisha yako kupitia hii simulizi ya kweli kutoka kwa jonathan (audio)
  6. emma115

    DEAD AID (Kwa Nini Misaada Sio Suluhisho Kwa Nchi Masikini Na Nini Cha Kufanya)

    Baada ya vita vya pili vya dunia na kuundwa kwa vyombo vya kuunganisha mataifa duniani kama umoja wa mataifa, mataifa yaliyokuwa na nguvu yalifikia maazimio ya kusaidia nchi ambazo zimekuwa na hali ngumu. Na njia bora ya kusaidia nchi hizi ilionekana ni kutoa misaada. Hivyo tangu miaka ya...
  7. emma115

    Jinsi watu wanavyofanya makubwa bila ya kuwa na majina makubwa

    UCHAMBUZI WA KITABU; (Jinsi Watu Wanavyofanya Makubwa Bila Ya Kuwa Na Majina Makubwa). Kwenye jamii zetu, imezoeleka kwamba kiongozi ni mtu ambaye anafanya maamuzi makubwa, maamuzi magumu na hatari sana. Kwa kufanya maamuzi hayo na matokeo yakawa mazuri, kiongozi hupata sifa kutoka kwa kila...
  8. emma115

    Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia nzima leo ni 2017 kwao ni mwaka 106 wakihesabu kuanzia kifo cha kiongozi wao Kim il-Sung. 4...
  9. emma115

    Jipatie Unlock Code kwa bei nafuu

    Je una simu au mobile wi-fi , wireless router ? Je inatumia SIM CARD ya mtandao mmoja tu? je unataka itumie mitandao yote bila kubagua? JIPATIE UNLOCK CODE KWA BEI NAFUU KABISA POPOTE ULIPO HUDUMA ITAKUFIKIA. Bei zetu hazina punguzo. Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu...
  10. emma115

    Je una simu au mobile wi-fi , wireless router

    sorry mkuu hatuna huduma ya hizo
  11. emma115

    Je una simu au mobile wi-fi , wireless router

    Je una simu au mobile wi-fi , wireless router ? Je inatumia SIM CARD ya mtandao mmoja tu? je unataka itumie mitandao yote bila kubagua? JIPATIE UNLOCK CODE KWA BEI NAFUU KABISA POPOTE ULIPO HUDUMA ITAKUFIKIA. Bei zetu hazina punguzo. Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu...
  12. emma115

    Toyota kuzindua magari yanayopaa kwenye Olimpiki mjini Tokyo

    Kampuni ya utengenezaji magari ya Toyota, ambayo imefadhili utengenezaji wa gari inayoruka angani ikiwa ni mradi uitwao Cartivator Project, yamepanga kuzinduliwa mwaka 2020 katika mashindano ya Olimpiki. Watengenezaji wa magari hayo wanatarajia kuyakamilisha mwishoni mwa 2018 na yataonekana...
  13. emma115

    Je simu yako inatumia laini moja?

    Sorry za nokia sina
  14. emma115

    Je simu yako inatumia laini moja?

    JE SIMU YAKO INATUMIA LAINI MOJA? Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ? Network Unlock Code SIM Unlock code Enter SIM Me Lock Enter NP Code Jipatie Network unlock code ya Simu Kwa bei nafuu TSHS.7000 SIMU YAKO ITAWEZA TUMIA LAINI YEYOTE ILE HUAWEI...
  15. emma115

    Je simu yako inatumia laini moja?

    Jipatie Unlock code kwa Tshs.7000 Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 G500 Vodafone Smart VF695 V695 V785 VF795 V795 V200 VF300 Kwa mawasiliano piga 0757426730 tembelea TOP SERVICE CARE
  16. emma115

    Jipatie unlock code kwa bei nafuu kabisa

    ipatie Unlock code kwa Tshs.7000 Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 G500 Vodafone Smart VF695 V695 V785 VF795 V795 V200 VF300 Kwa mawasiliano piga 0757426730 tembelea TOP SERVICE CARE
  17. emma115

    Je simu yako inatumia laini moja?

    Je simu yako ni Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 Vodafone VFD200 V200 VFD300 V300 VFD500 V500 VFD501 V501 V696 V700 Alcatel Alcatel One Touch OT-1012 U Alcatel One Touch OT-5036A Alcatel One Touch OT-985N Alcatel One Touch OT-1012X Alcatel One Touch OT-5036X U...
  18. emma115

    Je simu yako inatumia laini moja?

    Sorry hatuna Huduma ya hii
  19. emma115

    Je simu yako inatumia laini moja?

    Tigo ipi brand na model
Back
Top Bottom