Search results

  1. sodoliki

    Tulitafuta uzalendo kwa nguvu kilichozaliwa ni nyoka tutashindwa kumuua.

    Katika kufanya juhudi kubwa kuleta maendeleo na kutumia nguvu kubwa kupandikiza uzalendo bila kuwa tayarisha wananchi kwa sera , tumemtengenza nyoka kama ifuatavyo 1. Uzalendo wa maneno na vitendo vya kulinda uongozi , wateule na himaya zao 2.Utambulishi wa maadui na wabeba lawama wanaozuia...
  2. sodoliki

    Mvua inanyesha pwani lakini mikoani mvua hamna njaa inakuja

    Nawasihi sana wakulima wale manaoweka mahindi ili bei ipande, waulizeni wenzenu wa fedha za kigeni walivyodhulumiwa, watachukua mahindi kwa nguvu yauzeni hata kwa hasara, simuoni mtu wa kuwaonea huruma, kwanza mpaka tujue mtakuwa mmekufa nusu sii unajua magazeti yatakayochapisha habari ya njaa...
  3. sodoliki

    Korosho ni janga la taifa, namsikiliza waziri mkuu

    Nimemsikiliza Waziri Mkuu akizungumza na wakuu wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma kwa video teleconference, na kweli nimeona jinsi hii Serikali inavyoonea wananchi wake, toka tarehe 27 november 218, ni tani 92 elfu tuu zimelipwa, na wakati wamekusanya tani 207,elfu, huu ni uhuni, kama hamna...
  4. sodoliki

    Juma Nkamia, jibu tuhuma za upotevu wa millioni 400 za kituo cha afya Chemba

    Mbunge anaepiga chapuo ili muhula wa Rais uongezwe, unatuhuma za kuhusika na upotevu wa tshs milioni 400 kwa kituo cha afya, baada ya kupotea kwa hela hizo ombi lake la kutaka halmashuri watoe pesa za ndani na yeye aongeze pesa za jimbo zimekataliwa na madiwani. Kituo hicho ni kituo cha hamai...
  5. sodoliki

    Bei ya dizeli tshs 2436, natabiri itakuwa tshs 2800 mwezi february

    Haya hasara ya kutoweza kutumia busara na kuchelewa kukusanya usd kutoka kwenye korosho shilling ya tanzania imeendelea kushuka bei, na athari ya kwanza ni mafuta, chakula na nauli kufuata. Hapa kazi tuu
  6. sodoliki

    Leaders club na uwanja wa Lipuli, siasa majitaka

    Kuwakataza clouds wasifanye fiesta leaders club, kwa kisingizio cha wagonjwa na ukaribu wa watu, kwa minajili ya kusumbuliwa na kelele na kuruhusu lipuli stadium kwa wasafi ni siasa za maji taka, kwani lipuli watu wako karibu n hospitali binafsi kibao, same na jamhuri, siasa za matabaka...
  7. sodoliki

    Truth and reconciliation commission - Tanzania

    Kuna dalili zote kuwa taifa linagawanyika, hasa baada ya jiwe kuwa kiongozi, kuna tuhuma za watu kuuwawa, kuna tuhuma za watu kufa kwa kuvunjiwa nyumba zao, kuna kubambikiwa makesi kwa sababu mlengo wa siasa tofauti, kuna kuvunja Katiba, kuna matumizi mabaya ya fedha za umma bila Idhini ya...
  8. sodoliki

    Hii haikuwa zamu ya wazanzibari kutoa rais?

    Naona vuguvugu la lowassa lilitupoteza hadi tukasahau usia wa baba wa taifa , mimi naona mwaka 2020 turekebishe raisi atoke Zanzibar, tumuenzi mwanzilishi wa taifa letu
  9. sodoliki

    Haya leo CNN nao wakosoa serikali ya Tanzania

    As Tanzania's LGBT fear for their lives, HIV will thrive By Meera Senthilingam, CNN Updated 3 hours ago Dec 1, 2018 (CNN) - In one day, everything changed. One day, she could walk down the street like anyone else. People still stared and often judged but in their own minds -- not out loud. But...
  10. sodoliki

    Serikali ina madaraka gani ya kuamua matumizi ya rambirambi zilizochangwa na wananchi?

    Huu uamuzi wa serikali kugawa rambi rambi kwa waokozi ambao ni waajiriwa wa serikali na mashirika yake, na kutoa hela nyingine kujenga vituo vya afya imenikwaza sana. Rambi rambi kwa Mila zetu, wanagaiwa wafiwa, kwa uzito wa msiba,Nina maana kama umefiwa ni mzazi, mgawo unakuwa mkubwa, kuzidi...
  11. sodoliki

    Kwa nini idd iwe jumatano?

    Dunia mzima idd ni leo, nchi pekee inayosherekea did ni Tanzania, tatizo lii wapi?
  12. sodoliki

    Kuhusu mbwa wa polisi aliyetoweka

    Mbwa anayetafutwa ni mbwa special aliyetolewa na Serikali ya Marekani na ana uwezo wa kunusa pembe za tembo kwenye makontena bandarini. Naona kama hajaonekana, kamanda sirro IGP ni bye bye
  13. sodoliki

    Adha ya ujasiriamali - stumai simba wa porridge point

    Nimesikiliza clouds huyu dada hakika inaudhi na adha alizopata 77 grounds , ni kweli nchi hii Ni uongozi wa kitapeli tuu. Ofisa anamzuia asifanye biashara wala hana kitambulisho na hataji jina, anaelekezwa kwenda manispaa ya temeke, wakati shughuli za saba saba zinasimamiwa na bodi ya...
  14. sodoliki

    Kiwanda cha Tanga Cement hali ni tete

  15. sodoliki

    Dawasco bado ni bomu bomu

    Nilitaka kulipa maji bahati mbaya saa tatu asubuhi unaonekana kuwa mtandao wao wa Mpesa haufanyi kazi, sio jambo la ajabu, nimetoka ofisini saa kumi najaribu bado haufanyi kazi, invoice ya Dawasco ina namba 14 nyuma nikitumaini ni kwa ajili ya customer service, mshangao wangu, nimejaribu zote...
  16. sodoliki

    Mlonganzila ni hospitali au chumba cha maiti?

    Nina ndugu wawili wamefia hospitali mpya Mlonganzila, mmoja hata hakupata nafasi ya kuhudumiwa na dakatari, mwingine kwa sababu ya uzembe. Hivi mkuu analazimisha kufungua hospitali mpya. Huku anatoa huduma Muhimbili yenyewe imezidiwa yaani sasa Muhimbili hoi, Mlonganzila hoi. Baba yangu wewe...
  17. sodoliki

    Wanawake mmekuwa wakatili kiasi hiki

    Baada ya kumuona kaka yangu kanawiri , kawa kijana , kanenepa, leo kwa kilio kikubwa kafunguka hadi mimi mwenyewe nimelia kaka yangu mwezi wa nane alifumaniwa na mkewe , mara ya tatu hii. Mke akamuambia sasa uhame nimekuchoka nimekuchoka, kaka kuona mambo magumu kabembeleza na kutumia wazee ...
  18. sodoliki

    Tunaenda canaan?

    Tanzania: Not a place to invest in Africa - eTurboNews (eTN)
  19. sodoliki

    TFF ya Malinzi ilijichimbia kaburi katika siasa za zanzibar

    Malinzi hakujua kuitambua na kuipa support Zanzibar katika CAF ni msimamo unaopingana na sera ya Serikali. Kosa hili limeponza kaka yake aliyekuwa anasimamia sera. Ndiyo shida kuchamba kwingi kaondoka na mavi
Back
Top Bottom