sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,016
Kuna dalili zote kuwa taifa linagawanyika, hasa baada ya jiwe kuwa kiongozi, kuna tuhuma za watu kuuwawa, kuna tuhuma za watu kufa kwa kuvunjiwa nyumba zao, kuna kubambikiwa makesi kwa sababu mlengo wa siasa tofauti, kuna kuvunja Katiba, kuna matumizi mabaya ya fedha za umma bila Idhini ya bunge, kuna wabunge kuhongwa wahame vyama vyao, kuna kupotea kwa watu bila kujulikana, kuna state capture kwa familia moja kuhodhi nafasi nyeti, kuna watu wamefukuzwa kazi kihovyo na kihuni, kuna wazee wanakufaa kwa pressure kwa dhuluma kijanja ya mafao yao na mengine mengi.
Watu wamechukia na nawaomba wafuatao waombe bungeni tupate ruhusa ya kuunda truth and reconcilliation commission kabla ya uchaguzi ujao, ili tuwe kitu kimoja , naona kama tukienda kwenye uchaguzi kwa hali hii, maisha na mali zitapotea tuu, taifa hili ni la vijana kwa hiyo naomba zitto kabwe, januari, bashe, msigwa nape wamuombe spika apitishe hili