sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Baada ya kumuona kaka yangu kanawiri , kawa kijana , kanenepa, leo kwa kilio kikubwa kafunguka hadi mimi mwenyewe nimelia kaka yangu mwezi wa nane alifumaniwa na mkewe , mara ya tatu hii.
Mke akamuambia sasa uhame nimekuchoka nimekuchoka, kaka kuona mambo magumu kabembeleza na kutumia wazee , mkewe akampa sharti akafunge kizazi ( vasectomy)
kaka kagongwa p.umbu kama ndafu ya kichaga, yaaani anasema mashine inasimama lakini haitemi cheche, anajuta lakini anashangaa kwanini hata akirudi saa nane kunywa mkewe hata hamuulizi jamani nyie wanawake viumbe wa aina gani? khaaaaaaa