kama hukusomea biashara,huwezi jua mambo haya
Soon Tanzania itageuka Zimbabwe! !Uchumi unatujibu kwa vitendo siyo maneno ya majukwaani
Mkuu Ungefafanua kwa Niaba ya wengine wakuelewe thread hii INA maana Gani?
Watu hawajengi kama zamani sasa wateja watatoka wapi? Sekta karibu zote zimesinyaa/zimeporomoka ndani ya utawala huu.Sasa mbona wenye share zao watalia. Wanasema Cement ilikua nyingi mtaani bei ikashuka wakashindwa kushindana na wenzao wanaoagiza clinker nje ya nchi. Dangote si kasitisha production.? Wauze wao sasa....waache kulia kulia.
Watanzania watembee kifua mbele.....wana jiwe kweli kweli. We are on the right truck.
Market share ya Dangote haipo. Anauza nani?Watu hawajengi kama zamani sasa wateja watatoka wapi? Sekta karibu zote zimesinyaa/zimeporomoka ndani ya utawala huu.