Nadhani bado process ya ku refund haijakamilika.. normally wanasema ndani ya siku 3 hadi 20
Zikipita siku 20 kabla pesa haija rudi ndio unaweza kulalamika
Mimi ilinitokea like 3 weeks ago. China wana lock down. Kwa hiyo viwanda vyingi vilikuwa vimefungwa. Baada ya siku 7. Ile kampuni ilishindwa kutuma mzigo.. kwa hiyo wakasema pesa itarudishwa ndani ya siku 3 hadi 20
Uzuri wangu nilikuwa nimetumia hizi master card za Mobile Money.. Kweli siku...
Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani?
Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine baada ya kutafuta sana.. nilikuja kuukuta kwenye hivi vidroo vidogo dogo ambavyo vipi kwenye dashboard...
Kinachofanya joto la Dar liwe la kukera ni Humidity ni kubwa sana. (unyevu nyevu kwenye hewa). Hii inafanya watu watoe jasho sana.
Kuna wakati bongo Humidity inafika mpaka 80.. hapo ni mwendo wa jasho tupu. Hapa mwili ukipumua unakutana na maji maji yamejaa tayari kwenye hewa (air), yanashindwa...
Watu wenye Sukari wana sukari yao maalumu ya kutumia. Inapatikanika sehemu nyingi. Inakuwa ya kidonge au drops. Kidonge kimoja ni sawa na kijiko kimoja cha sukari. Nimeattach picha hapa
Hapana, anakupigia kawaida tuu. sema lazima uwe na pesa kwenye salio. Sababu ukipokea unakatwa pesa pia, Tena wewe unaepokea unakatwa pesa nyingi (according to roaming agreements)
Ila yeye anaekupigia anakatwa tuu kawaida, kama anavyompigia mtu wa local hapa
Siku hizi kuna pre paid roaming. Sio kama zamani . Mimi mfano naweka buku kwenye line. Natuma sms..chache.. na bado huwa natumia mobile money. Napata msg za internet banking etc
Mkuu wapigie hiyo Kampuni. Waaambie nchi unayokwenda kama wanafanya roaming. Kama wanafanya roaming basi ni rahisi kwako. Line yako itakuwa hewani.
Ingawa ni gharama sana kufanya roaming. Yaani mtu akikupigia simu na wewe unakatwa pesa
Lkn huduma za Mobile money .. USSD(kuangalia salio etc)...
Mkuu upo eneo gani unapopata hii call drop?
Je unaipata ukiwa kwenye 2G or 3G network?
Jaribu ku lock simu yako kwa 2G only kisha utest. Then 3G only kisha u test.
Hii itawafanya Airtel kuelewa eneo na tatizo.
Na itakuwa rahisi kushghulika nalo pia.
Mimi pia ni mdau wa mawasiliano ingawa sipo Airtel
Airtel wamechelewa sana mkuu.. Voda na Tigo walishauza siku nyingi sana. Waliwauzia kampuni inaitwa HTT
Core Busness ya Makampuni ya simu (Operators) sio kumiliki Minara, kazi yao kubwa ni kuuza services za mobile
Sasa anapokuwa anamiliki Minara, hapo anatakiwa kudeal na mwenye eneo, kudeal na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.