Search results

  1. R

    Mtoto Mashalaah

    Dumu la petroli hilo.
  2. R

    nimetumiwa sms hii na bodi ya mkopo

    Hawa jamaa hawana database nzuri ndio kabisa kwani mie mwenyewe wamenikata weeee mpaka sasa nimebakiza miezi miwili kumaliza deni lao wanasema mie ni mdaiwa sugu, yaani hawana data za watu wanaodaiwa, walioanza kulipa na hata waliomaliza kabisa. Vile vile ukiangalia katika majina waliorodhesha...
  3. R

    NATO yamuonya Trump kuhusu uamuzi dhidi yake

    Mbuyu ulianza taratiibu kama mchicha hivi.
  4. R

    KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Hapana chezea siasa wewe!!!!
  5. R

    Yanayojiri Fiesta kutoka viwanja vya Leaders Club, Kinondoni - Dar es Salaam

    Live kutoka Leaders club, lkin naomna kama kumepooza mbona, tujuzane kwa lolote wadau.
  6. R

    Diamond Platnumz hii sasa sifa! Angalieni hi Schedule ya show zake!!

    Weka na ratiba ya Ally kiba bana!!!!
  7. R

    Safari ya Tarangire Na Ngorongoro kwa Bei Rahisi.

    Safari inaanzia wapi ndg?
  8. R

    Sababu ya Lwakatare kuhojiwa Polisi yadaiwa ni kuomba misaada ya waathirika kwa akaunti binafsi

    Na ni shilingi ngapi zimeshawafikia walengwa mpaka sasa?
  9. R

    Fundi marembo 0659353388

    Ningependa tuwasiliane kwa watsapp namba hii plz 0767077952
  10. R

    Car parking shades (vivuli maegesho ya Magari) available.

    Tunapataje huduma hiyo kwa sisi tuliyo mbali na Dar?
  11. R

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Nami nitakucheck unitumie kaka!!!
  12. R

    Msaada wa Bank inayotoa mikopo kwa kuweka Bond viwanja tu

    Huo ndio ukweli kwani unaweza ukapata mkopo kwa kuweka bond ya kiwanja chako, then marejesho yako utayatorea wapi? Kwani kwa mabenki mengi marejesho ni kila mwezi, so lazima uwe na chanzo kingine cha mapato kaka!!
  13. R

    Jaman World Vision wanatumia mda gani tangu deadline hadi interview.

    Etiih vigezo, nani anaangalia vigezo vyako? We acha hiyo kitu kaka!!
  14. R

    ETI KIKAO CHA CUF ZANZIBAR BATILI NA PROF.LIPUMBA KURUKA UKUTA NA KUVAA OFISI SAWA?

    Hivi ni kweli profesa au ni uzushi tuu,maana sidhani kama hata akiamua kurudi kufundisha wanafunzi wake watamuelewa anachokifundisha aisee!!! Na sijui kwa nini maprofesa wenzie hawamshauri kwa ujinga anaoufanya hadharani hivi. Aibu kwako profesa.
  15. R

    Car4Sale Inauzwa Rav 4 Killtime

    Vipi ulaji wa kiwese jmn?
  16. R

    Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    Mie imenikera mpaka basi aisee, mie nimekatwa shilingi 50,000
  17. R

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Wapo Landmark Hotel pale ubungo riverside.
  18. R

    Wafanyakazi wa Serekali wanakaangwa kwenye chungu kisicho na mafuta!

    Mbaya zaidi ktk mshahara wa mwezi huu badala ya nyongeza, sasa kuna punguzo ambalo sijui ni la nini teana maana mimi kwangu nimekatwa 56,000 sijui ndio nachangia malipo hayo ya ndege iliyonunuliwa juzi.
  19. R

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Mie nimelimwa 45,000 sijui sababu kabisa, yaani wee acha tuu!!!
Back
Top Bottom