Search results

  1. Majok majok

    Yanga yafungiwa tena kutokusajili mpaka walipe madai ya Lazarus Kombole

    Suala la kuyumba kwa yanga liondoe akilini mwako, Kama ndio ndogo unayoitegemea ifute kwa wino mweusi, yanga keshaweka mifumo makini ya kufanya isimame imara ndio maana ya transformation, kwaiyo usiitegemee yanga ya bakuli kurudi tena Mbona povu linakutoka sana shida Nini? Stress au kitu Gani...
  2. Majok majok

    Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara! Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
  3. Majok majok

    Simba sc mpaka sasa ina vikombe vitatu ndani ya kabati, hakika hii ni timu ya mfano na timu ya kuigwa katika ligi ya Nbcpl

    Makombe yanajulikana bwana mbona unayakosea adabu? Makombe ni NBC premier league na CRDB confederation cup usiweke mabonanza ya hisani kwenye mtiririko wa makombe kwa maana ata michuano ya kugombea mbuzi nayo Yana kombe!!!
  4. Majok majok

    Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    Ndo nasema mangungu amumdai kitu keshawapa mlichokitaka ni vizuri mkafunga midomo yenu!
  5. Majok majok

    Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    🤣🤣🤣👍 Akili kubwa utawala akili ndogo!
  6. Majok majok

    Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Ilo kombe linawafanya muwakilishe nchi kwenye michuano Gani labda?
  7. Majok majok

    Mangungu na try again hamna baya, mafanikio yenu pale Simba msimu huu mpewe mitano tena!

    Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa! Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya...
  8. Majok majok

    Wito, Kuna Mashindano ya Kombe la diwani huku Tegeta kwa ndevu mshindi anaondoka na bajaji mpya, Tunawaalika Simba sc waandike barua mwisho tar 1

    Mangungu na try again wapewe 5 Tena kwa maana wamevunja rekodi ya mafanikio kwa kubeba kikombe Cha muungano na milioni 50 juu! Iyo itaongezeka kwenye mafanikio ya klabu ya msimu mzima baada ya wasap channel kuongoza kwenye mafanikio ayo! Milioni 50 wataweza kushusha vyuma vya maana kwenye...
  9. Majok majok

    Benchika kuondoka Simba ni Sawa tu,Kafeli

    Kawapa kikombe Cha muungano kwa kishindo uoni mafanikio ayo?
  10. Majok majok

    Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Ni moja ya mafanikio yenu msimu huu pamoja na wasap channel kwa maana iyo mangungu na try again msiwapigie kelele Tena ni moja ya viongozi wenye mafanikio sana kuliko wote🤣
  11. Majok majok

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Mpaka Simba ije kukaa sawa kwa kubadilisha makocha Kila mara Kama vile unabadilisha boxer za kuvaa yanga watakuwa washatwaa ndoo mara 10 mfululizo, wanadhani kubadili makocha Kila msimu ndio suluhisho la matatizo yao!
  12. Majok majok

    Kocha wa Simba Benchikha awasilisha barua rasmi ya kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu

    Baada ya Kuona anafundisha timu yenye wachezaji wenye vichwa vigumu kumuelewa hatimaye kocha la makombe limeamua litumie njia mbadala kujiondokea baada ya kudai linaondoka kutokana na matatizo ya KIFAMILIA🤣🤣 Ikumbukwe ni majuzi tu baada ya kutandikwa na yanga alikiri mwenyewe kuwa tokea aanze...
  13. Majok majok

    Simba wakishinda Aprili 20, 2024, nitaamini wengi tumezidiwa sana akili na Wanasiasa

    Umemaliza Kila kitu, kitakwimu, kiuwezo, kiutawala, performance na kiufundi yanga kamuacha Simba mbali, akuna namna unaweza kuitumia kwenye sayansi ya mpira kusema unaipa Simba nafasi ya kushinda iyo mechi zaidi ya kusema labda washinde kwa kutumia ushirikina, rushwa na siasa, ubora wa timu...
  14. Majok majok

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Mbumbumbu akili zenu ziko makalioni Yani kiufupi amjitambui mpo mpo tu Kama manyumbu, unaposema singida anaitengenezea yanga point za bure kwani kabla ajakutana na yanga kashinda mechi ngapi alipocheza na timu nyingine wanazolingana ubora? Yani apigwe na timu wanazolingana ubora alafu kwa yanga...
  15. Majok majok

    Wana Yanga wametoka kugombana na CAF sasa wamehamia kwa Azam TV

    Vichaa walioko kwenu ni zaidi ya hao unaiwasema, Kama mliletewa manzoki kwenye uchaguzi na mkapiga makofi si ni zaidi ya vichaa!!!
  16. Majok majok

    Ahmedy Ally: Yanga Sc wamepiga simu Azam media kuwa wafute interview ya Fiston kalala Mayele

    Uyo Ahmed Aly si ndio Rage alisema azimtoshi kichwani?
  17. Majok majok

    Ahmed Ally acha propaganda haisaidii, uwe na aibu hata kidogo

    Unajua mashabiki wa Simba, wanachama na wadau wa michezo wanashindwa kutambua kwamba gape la ubora aliloset yanga ndio linaifanya Simba ionekana mbovu, pia ushindani wa ligi kwa sasa akuna timu ambayo inaingia uwanjani kinyonge Kama zamani, timu zinao udhamini wa Azam Kila timu inakunja kibunda...
  18. Majok majok

    Che Malone:Ni ndoto ya kila mchezaji duniani kote kushinda mataji na kucheza kwenye timu kubwa yenye malengo makubwa

    Akuna mchezaji anayejitambua wa kigeni anayeweza kubaki kwenye timu isiyokuwa na malengo, timu imewekeza kwenye kombe la propaganda tu na kusajili wachezaji wa buku buku uku wakipiga porojo za mdomoni nani abaki hapo? Kila la kheri che malon umejitambua
Back
Top Bottom