Search results

  1. Prince Nadheem

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Ujuzi mwingi, mbele giza 😆😆😆
  2. Prince Nadheem

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Mzee soma between the lines. Simu ambazo hazikuwepo ni hizi za mkononi ila kulikuwa na landline na amesema vizuri tu kuwa kulikuwa ma simi za mezani
  3. Prince Nadheem

    Nilivyokuwa najiona mjanja, nikaishia kutapeliwa Milioni 42

    Hapo kwenye red pame-raise red flag
  4. Prince Nadheem

    Kariakoo bila kujulikana bidhaa utainunua kwa bei ya juu

    Juzi kuna mdada jirani yangu alikuwana anataka simu ya Samsung A series. Yule dada kufika anaambiwa simu ni laki 7. Akanipigia simu kuniuliza. Nikamuambia hiyo simu asking price ni laki 5 ila hadi 4 na 60 unapata, nikampa na namba ya muuzaji. Kumbe yule jamaa alitega sikio akidukua mawasiliano...
  5. Prince Nadheem

    Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Nilishawahipeleka gari inawaka taa ya ABS, fundi akakimbilia kutoa fuse ya ABS. Bahati nzuri nilimuona nikamuambia irudishie tu hiyo fuse, maana shida haipi hapo
  6. Prince Nadheem

    Fahamu matumizi ya gia L, 2 na 3 katika gari automatic

    Elimu safi kabisa hii. Ahsante sana mkuu Mshana Jr
  7. Prince Nadheem

    Hakuna wa kuilaumu SIMBA- Hongera kwa wachezaji wa Simba wote na bench la ufundi likiongozwa na Babu Robati

    Simba katoka kama kanuni ya mchezo tu kuhitaji mshindi mmoja ila sio kuzidiwa mbinu na mpinzani. Kudos kwa Wachezaji, bench la ufundi, wanachama na mashabiki kwa ujumla
  8. Prince Nadheem

    Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

    Was she suffering before marrying her? She wanted to be free as she was before not to be rich and free. Mostly the woman in the scenario was after Hakimi's possession. What if a man files for a divorce, would he have allowed to split half of woman's property? These western exploitative feminist...
  9. Prince Nadheem

    Qur'an ni kitabu chenye maajabu wanasayansi wanathibitisha

    Ungejengea hoja za msingi hili bandiko lako ingekaa poa zaidi mkuu. Ila hili suala unaweka tu bandiko kama unakimbizwa ni kama kupoteza watu maboya. Weka hoja, maelezo na mifano katika kuipa nguvu hoja yako. Haukimbizwi. Kaa tulia weka bandiko lenye maana
  10. Prince Nadheem

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Wewe ndio umeongea. Samsung anawin katika vioo hasa katika simu zake za upper Mid range hadi high end. Kwenye lower budget phones hamna kitu ukilinganisha ba simu za budget kama Honor series, Redmi na Oppo. Kingine ambacho Sammy anasimama ni camera ila nje ya hapo stock UI yake ni ya kawaida sana
  11. Prince Nadheem

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Unatumia simu gani? Inasupport screen mirroring na NFC?
  12. Prince Nadheem

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    1. Split Screen. 2. Float Screen. 3. Guest Account (unakuwa na accounts kibao ndani ya simu na zinajitegemea) 4. Touching gestures za kutosha with the screen off Na vitu vingine viingi ambavyo kwenye Samsung sikuviona. Nimetumia Samsung S10+ na ndio nikahamia Oppo
  13. Prince Nadheem

    Msisahau ku-update Android zenu kwenda Android 13

    Oppo Reno5 F nategemea kuipokea Android 13 February 2023 na ndio itakuwa my last android update. Mwakani inabidi niset budget nichukue Oppo au Xiaomi. Samsung nilishatoka nq sitegemei kurudi. Kuna features na functionality nazipata huku Oppo na pia zingine naziona Xiaomi ambazo kwa Samsung ni...
  14. Prince Nadheem

    Maandishi hayasomeki kwenye simu

    Taarifa haijitoshelezi hii. Watumia operating system gani? Je kabla ya hii hali kuna mabadiliko uliyafanya katika simu yako kama vile software update au installation. Hiyo shida ni kwenye apps zote au baadhi au web browser au wapi? Ukija na majibu ya hayo maswali ndio watu tutajua tuanzie wapi...
  15. Prince Nadheem

    Gizelle Blanco azungumzia ndoa yake na mcheza ngono mwenzake Roman Nomar

    Mh! Hizi kazi zingine kwa kweli yataka sana moyo. Dada aseme tu wanapokutana wanakuwa wamechoka sana na pia kiu yao inakuwa imekidhiwa huko location
  16. Prince Nadheem

    Nataka kununua Toyota carina TI

    Kama ina hali nzuri basi ni boooonge moja la gari, 5A engine ni moja ya engine bora kuundwa na Toyota. Gari ina spare kibao na inahimili sana misukosuko. Bodi ni gumu na mwendo upo. Ndani unakaa comfortable tu. Kama ina hali mzuri basi iendee tu mkuu.
  17. Prince Nadheem

    Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

    Ahsante kwa ufafanuzi mkuu. Ile thread yetu pendwa nahisi bado ipo kwenye top 3 ya trending thread.
  18. Prince Nadheem

    Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

    Wewe naona wataka ofisi ikae ki-executive sanaaaa ndio maana. Ila ukianza tararibu ukawa na nidhamu ya pesa na malengo utafika unapopatarajia aisee. Kuna watu wako nje ya fremu hapa Buguruni ukijumlisha kila kitu ana around laki 3½ ila kila siku yupo na anasomesha. Nataka nikaanze hii bizney...
  19. Prince Nadheem

    Biashara ya kuingiza movie na miziki kwenye flash na simu

    I thought you're the other side of Rikiboy. Apart from Tund thread, I know nothing about that charming boy rikiboy
  20. Prince Nadheem

    App ya movie (Movie Box Pro)

    Ahsante kwa thread hii mkuu. Japo hizo movies ulizosuggest nimeziona zote ila ngoja niipakue app hiyo ili nione napata nini. Thanks for sharing and caring. Kudos kwako
Back
Top Bottom