Search results

  1. Z

    Natafuta kazi

    Sina zoefu wa kuandika proposal Naomba mwongozo
  2. Z

    Natafuta kazi

    Nashukuru kwa ushauri mkuu, Ila kurud kule haiwezekani kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
  3. Z

    Natafuta kazi

    Mchawi mtaji ndugu
  4. Z

    Natafuta kazi

    Habari za wakuu Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya...
  5. Z

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Huyo white juzi aliniuzia dafu masaki Karibu na Nmb brach pale packing lavina hotel
  6. Z

    Plant accountant Knauf Measa building materials

    Habari za kazi wakuu Naomba kuuliza kama kuna wadau wameanza kufanyiwa phone interview kutoka kwenye hiyo kampunu hapo juu Nilifanya application nikajibiwa mail kwamba nitapiguwa simu kwa ajili ya oral interview kupitia simu Inaenda wiki ya pili sasa naona kimya so kama kuna yoyote ambae aliomba...
  7. Z

    Olympic petrol

    Ya waswahili imekaaje?
  8. Z

    Olympic petrol

    Wadau mwenye kufahamu naomba anijulishe
  9. Z

    Olympic petrol

    Hahaha Sawa ndugu
  10. Z

    Olympic petrol

    Huelewei hata nn nimeuliza mkuu
  11. Z

    Olympic petrol

    Dalali? Hivi kuna udalali kwenye kutafuta kazi? Ndio nasikia kutoka kwako ndugu
  12. Z

    Olympic petrol

    Kuna tatizo kaka kujua maslahi ambayo mdogo ake anaenda kupata kazin?
  13. Z

    Olympic petrol

    Kuna tatizo kaka kujua maslahi ambayo mdogo ake anaenda kupata kazin?
  14. Z

    Olympic petrol

    Sawa mkuu Ubarikiwe sana
  15. Z

    Olympic petrol

    Kapata kazi kampuni mbili so tupo tunajaribu kucheknipi itakua na maslahi mazuri kwa maisha yake boss
  16. Z

    Olympic petrol

    Accountant? Isijekua unazungumzia pump attendant mzee
  17. Z

    Olympic petrol

    Unafahamu?
  18. Z

    Olympic petrol

    Accountant
  19. Z

    Olympic petrol

    Naomba kufahamu maslahi yake yakoje kwa wafanyakazi KUna ndugu yangu kapata kazi Asante.
Back
Top Bottom