Natafuta kazi

Ziguh2013

Member
Jun 29, 2023
25
30
Habari za wakuu
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor ya business adminstration based in accounting, nina uzoefu wa kufanya kazi benk lakin mkataba uliisha na sikua tayari kuongeza tena kwa sababu zangu binafsi, baadae nilipata kazi kweny kiwanda, mkoani kama mhasibu msaidizi lakin bahati mbaya kiwanda kilifungwa na serikali,
Kwa sasa sina kazi na nina pambana,
Naomba kwa yoyote ambae anaweza kunipa connection ya kazi mkoa wowote wadau ntamshukuru sana
Mungu awabariki
Nasoma pm
 
Kwani kurudi ulikotoka unaona shida gani? Hizo sababu zako binafsi zitakuponza - achana nazo rudi kapige mzigo ndg. Washauri nguli walisemaga "Usiache kazi wakati huna kazi"
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu,
Ila kurud kule haiwezekani kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom