Search results

  1. J

    APR Rwanda wanamtaka Aziz Ki wa 1 million usd ($ 1million)

    Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya dola milioni moja ($1M) , ambayo ni zaidi ya 1,000 .000.000 Frw (Uliza kwa sarafu ya Rwanda) So far...
  2. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    results are out . wote amna kitu
  3. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    hata kibu ni street football.
  4. J

    Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    another neutral ground match. you do know its visa free to travel from algeria to Morocco and vice versa. but the boarders are completely closed and so are their embassies in each country. generational hate is real.
  5. J

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    kausha, poa. chukua pombe piga mbili tatu. lala. haya mambo yana jisolve tu. wewe give it time. sema ume destroyed life la manzi wa watu. she had it all. ukiwa unakula vya watu. use defensive mechanism asiache alipo thats the 1st rule. ngono zipo tu.
  6. J

    Polisi wamkamata GB 64 akidaiwa kuhamasisha Watu kufanya vurugu mechi ya Yanga Vs Simba

    😂😂kesho mangungu asiingie bila escort uwanjani. we will be there.🤌 tupo na simba hadi mo azile 😂😂
  7. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    mpira unaonekana. na mzize hana mpira. azam wanamchukua kama disrupter wa ku press. maana wana mid field wafungaji. also they need watu wa big games mzize ni kijana na ana big games, misses nyingi ila useless.
  8. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    wote baba mmoja 🚮
  9. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    amna improvement. mzize ni epileptic patient. after next year yanga watamtoa bure.
  10. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    19 mzize. he looks older than me na mimi nipo late 20s kuwa serious
  11. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    kama akili huna. basi sio mchezaji mzuri. he should be a top schooler kwa chance ame miss in all competitions. nyingi and its pathetic.
  12. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    for sure, right time at a right place doing a right thing at minium capacity .
  13. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    azam ni timu kubwa 😂😂, kuwa serious na mpira wa tff.
  14. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    i respect him for this. mad respect ila hapa ni mpira sio life story. amna huruma
  15. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    🤸 mama anaupiga mwingi
  16. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    kibu simba awamuachi
  17. J

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana. my views kwa mzize 1. Mzize ni useless player in striking force sema Yanga sijui wanamuona ana nini? statistics zinanibeba kwenye hili. 🚮🚮 ni kibu...
Back
Top Bottom