Search results

  1. F

    Nadhani mlinipenda kwa dhati, asanteni

    Nikitizama nyuma naona michirizi ya damu, mioyo iliyoumizwa, nami ni mmoja wa wahanga. Nitakuwa muongo nikisema sijaumiza wengine na mimi. Nimekuwa na wanawake kadhaa, leo niwashukuru kwa kunipenda kwa dhati, japo kuwa mlinitenda na niliowatenda....., LEO NASEMA ASANTENI SANA KWA MAPENZI YA...
  2. F

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Ni kwa kutoa kauli kuwa Rais Kikwete ni dhaifu! Amekataa kufuta kauli yake na ametolewa nje ya Ukumbi.
  3. F

    Naitisha maandamano kupinga kuchomwa makanisa Zanziba

    Hakuna uhusiano kati ya kudai uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar na ukristu! Serikali ya muungano na CCM si chama cha/serikali ya wakristu na wala wakristu hawahusiki kwa namna yeyote na madai ya uhuru wa Zanzibar. Kitendo cha kuchoma makanisa ni ushambulizi wa wazi wazi dhidi ya UKRISTU...
  4. F

    Kwa nini ulinimwaga? "Why did you dump me"

    Mabinti muwe mnauliza! Unapopigwa chini na usichunguze kujua sababu then ukakimbilia kwenye mahusiono mengine.... Jumapili mi bachela, sipiki, nikitoka church hupendelea kutafuta sehemu nzuri ya kula, mara moja kwa wiki sioni tabu kula chakula cha alfu saba hadi kumi na tano, navyojibanaga...
  5. F

    Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

    Msimamo wangu juu ya Edward Lowassa na watu wake wote unafaahimka wazi. One of such people ni James Millya. Yes amehamia CDM lakini swali langu ni je atakuwa mwaminifu zaidi kwa Edward Lowassa au CHADEMA? Akiwa CCM alijiainiasha kama mtu aliyekuwa tayari kufanya chochote alichoagizwa na Edward...
  6. F

    Edward Lowassa: Chui wa makaratasi

    Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa si chochote kama anavyotaka tuamini. Ni chui wa wakaratasi, ni mbwa anayebweka sana lakini hakika hawezi kung'ata. Ni mwigizaji by profession na maisha yake yote ya kisiasa amekuwa anaigiza na...
  7. F

    Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

    Akiwa kwenye kikao na ma technical assistants mkuu wa mkoa wa Arusha amemuagiza RAS awatawanye wachaga toka ofisi ya mkuu wa mkoa arusha. Anadai mkuu wa mkoa aliyeondoka ndugu Isdore Shirima alijizungushia wachaga! Ukweli ni kwamba wengi wa hao anaodai Shirima alijizungushia Shirima aliwakuta...
Back
Top Bottom