Search results

  1. rayman m

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Jaman naskia waliopata division three wanaenda diploma je ni kweli? Nakama nikweli wanaombaje admision maana nacte ilishafunga. NAOMBA MWENYE UFAHAMU JUU YA HILI ATUJUZE KIDOGO.
  2. rayman m

    Deadline ya CAS- NACTE hasa ni lini? Mbona bado inakubali?

    Mbona Sijaona mkuu tafadhali naomba nilink na hayo majina afadhar
  3. rayman m

    Deadline ya CAS- NACTE hasa ni lini? Mbona bado inakubali?

    kuna zile deadline yake ilikua mwezi wa tatu ila ni vyuo vya afya tu
  4. rayman m

    Deadline ya CAS- NACTE hasa ni lini? Mbona bado inakubali?

    Hivi na zile za mwezi wa tatu veepe????? maana walidai ile ndo ilikua intake ya kwanza but sijaona matokeo yake au ndo wanaunganisha yote according to this advert????? Msaada hapo:confused::confused::confused:
  5. rayman m

    0742: huu ni mtandao gani?

    Asante mkuu
  6. rayman m

    0742: huu ni mtandao gani?

    Asante mkuu
  7. rayman m

    0742: huu ni mtandao gani?

    Asee jaman na mimi ni mhanga kuna namba inaanza 0693 Zipo mbili zinanibip mara nkipokea kimya af nkipiga cjui nimeekwa blacklist maana nkipiga inaita mara moja inakata ilazenyewe zinanipata. Msaada wakuu mandao gani huo???
  8. rayman m

    Msaada NACTE

    sasa wadau mdona naona kuna deadline mbili kwenye kada ya afya? maana kuna ile orodha ya vyuo vitakavyo chukua wanafunzi wa afya inasema deadline ni 30/03/2016 but kuna sehemu ingine wameorodhesha deadline za course zote na imeoneshwa afya ni 31/05/2016. naomba mwenye update anisaidie wakuu yani...
  9. rayman m

    Nahitaji chumaba cha kupanga Shinyanga Mjini

    Hello wadau poleni na mihangaiko ya siku. Tafadhali kama upo Shinyanga Mjini naomba unisaidie jinsi ya kupata chumba cha kupangisha au kama kuna mwenye namba ya dalali anisaidie pia kama unaweza ntafutia ntakupa chochote kwa shukrani. Naomba msaada wenu wanajamvi. Natanguliza shukrani zangu..
  10. rayman m

    Masters of public heath(MPH)

    hahaaaa kweli wewe kizibo stress ztakuua famba wewe!!
  11. rayman m

    Masters of public heath(MPH)

    sasa maswala ya BRN yametoka wapi mkuu? nahisi una stress za maisha maana unaongea vishazi tegemezi halafu unajiona umetoa information. dalili ya mtu mwenye stress ni ku jump into issues. what is the connection of ur maters BRN na uzi wangu by the way? au ndo nahisi kwanza unatumia abriviations...
  12. rayman m

    Masters of public heath(MPH)

    ahaa nashukuru mkuu. vp kwa uzoefu wako hiz test kuzifanya huko balozin zina gharama kubwa? pia complication vp zpo?
  13. rayman m

    Masters of public heath(MPH)

    shukran mkuu. hiyo TFL nahisi ntakuwa nimekosea ila unaposo requirement za vyuo vya nje wahita language test sasa kuna vitu ka vitatu hiv laki mesau nimejitahid kutunisha msur nkataja TFL nkijua wadau watanikosoa topic iende mrad swala langu nimelipatia ufumbuzi.
  14. rayman m

    Masters of public heath(MPH)

    sija kwelewa bro!!
  15. rayman m

    Masters of public heath(MPH)

    Wadau naomba kujua maeneo gan mtaalam alie soma MPH anafanya kazi zaid. na zile english test kama TFL hapa tz zinafanyikia wap?
  16. rayman m

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wadau na ili kupata gari nzur ya bei rahisi atleast kuanzia maisha naeza pata kwa bei gani na ni gari gani? sio used.
Back
Top Bottom