Nahitaji chumaba cha kupanga Shinyanga Mjini

rayman m

Senior Member
Feb 6, 2012
120
27
Hello wadau poleni na mihangaiko ya siku. Tafadhali kama upo Shinyanga Mjini naomba unisaidie jinsi ya kupata chumba cha kupangisha au kama kuna mwenye namba ya dalali anisaidie pia kama unaweza ntafutia ntakupa chochote kwa shukrani.

Naomba msaada wenu wanajamvi. Natanguliza shukrani zangu..
 
Nenda maeneo ya Ibinzamata karibu na stendi ya mabasi umtafute aitwaye Luheka. Huwa yupo kwenye mabanda ya mabasi ya kwenda Mwanza.
 
Back
Top Bottom