Masters of public heath(MPH)

rayman m

Senior Member
Feb 6, 2012
120
27
Wadau naomba kujua maeneo gan mtaalam alie soma MPH anafanya kazi zaid. na zile english test kama TFL hapa tz zinafanyikia wap?
 
Policy analyst, Research, Monitoring and Evaluation, Program/project management, hizo ni baadhi ya maeneo machache ya kujidai!What is TFL??
 
Mtafute Doctor Grace Qorro AAR Atakusaidia, Kukuongoza Na Kukushauri Vizuri Zaidi Kwani Anaijua Hiyo Vizuri Na Msalimie Sana Tafadhali.
 
Policy analyst, Research, Monitoring and Evaluation, Program/project management, hizo ni baadhi ya maeneo machache ya kujidai!What is TFL??

shukran mkuu. hiyo TFL nahisi ntakuwa nimekosea ila unaposo requirement za vyuo vya nje wahita language test sasa kuna vitu ka vitatu hiv laki mesau nimejitahid kutunisha msur nkataja TFL nkijua wadau watanikosoa topic iende mrad swala langu nimelipatia ufumbuzi.
 
hizo mara nyingi unazifanya Balozi husika, kama unaenda US lazima uende ubalozi
 
ahaa nashukuru mkuu. vp kwa uzoefu wako hiz test kuzifanya huko balozin zina gharama kubwa? pia complication vp zpo?
 
sija kwelewa bro!!

Kwani Ktk Uzi Wako Ulitaka Tukusaidie Na Nini? Kwahiyo Ina Maana Hata Content Na Context Ya Uzi Uliouanzisha Mwenyewe Huujui? Kweli BRN Itaathiri Vizazi Hivi Vya Sasa ( You Inclusive ) Hadi Dunia Itakaposambaratika.
 
sasa maswala ya BRN yametoka wapi mkuu? nahisi una stress za maisha maana unaongea vishazi tegemezi halafu unajiona umetoa information. dalili ya mtu mwenye stress ni ku jump into issues. what is the connection of ur maters BRN na uzi wangu by the way? au ndo nahisi kwanza unatumia abriviations usizo jua maana yake ili tu uonekane mjuaji. tulia bro.
 
Tangia Lini Senior Member Akashindana Na JF Senior Expert Member? Utofauti Wetu Pia Unaanzia Hapo POPOMA Mkubwa Wewe! Unataka Ulete Pumba Zako Za Kishamba Halafu Eti Tukuunge Mkono? Who're You By The Way? Do You Think You're So Special? Lumpen.
 
hahaaaa kweli wewe kizibo stress ztakuua famba wewe!!
 
Back
Top Bottom