Search results

  1. kivyako

    Mnaoenda mikoani jiandaeni kisaikolojia

    Mitaa ya kibaha misugusugu huku kuna kamba si ya nchi hii, barabara imejaa magari kwa zaidi ya lisaa hakuna gari linalosogea, mbadala mnaweza kupitia njia ya bagamoyo
  2. kivyako

    Don't miss the show[emoji23]

    Mtanange huu wa heavy weight utarushwa mubashara na kituo chetu pendwa cha kizalendo cha luninga cha pale Bamaga hapo tarehe 21/01/2019, usikose Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kivyako

    Ni upi mustakabali wa vikundi vidogovidogo vya kukopeshana?

    Hapa nawaza kwa vikundi kama vicoba ambavyo vinachangishana hela kidogo na kukopeshana itakuwaje? Maana maagizo ya BOT yamesimama wima! Karibuni wajuvi wa mambo ya finance mtutoe tongotongo kidogo, asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kivyako

    App gani ya kucheki soka live?

    Habari wadau? Kama kichwa kinavyojieleza naomba kujua ni app gani naweza kutumia kucheki soka hasa mechi ya leo ya epl inayochezwa usiku mnene! Asanteni wanasoka
  5. kivyako

    Wanakula pensheni

    Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kivyako

    Ni mwendo wa 2-3-5

    Naona ni mwendo wa kushambulia tu hakuna kupaki basi, maana soon unaweza kuvuna mabua hahahahahaha
  7. kivyako

    Maisha yanaenda kasi sana!!!!

    La muhimu ni kujua kuwa maisha hayajasimama bali yanasonga mbele
  8. kivyako

    Train yapata ajali na kufunga njia Tabata reli/sheli

    Wale wa kuingia na kutoka Tabata tafuteni njia mbadala kwa muda huu maana tairi za train zimehama na kusababisha train kuziba barabara ya kuelekea Tabata.
  9. kivyako

    Hii inaweza kutokea kweli katika soka??

  10. kivyako

    Baada ya "usajili" sasa tujielekeze kwenye kero za wananchi

    Naona usajili wa sasa umeenda sambamba na dirisha dogo la VPL, kila timu inajitahidi kuimarisha kikosi chake, huyu anaenda huku na huyu anaenda kule, siasa kama soka usimwamini sana mchezaji anayebusu jezi yake akifunga goli hata kama anawasaidia vipi au mnampenda vipi muda wowote anaweza...
  11. kivyako

    Kumbukizi

  12. kivyako

    Light moment!

    [IMG Waweza kuongeza mapicha zaidi ambapo viongozi uweka pembeni majukumu makubwa na kujiachia kidogo
  13. kivyako

    Mjadala BBC: je kuna uhuru wa habari katika ukanda wetu wa Afrika, au uhuru unatumika vibaya?

    Itakuwa ni leo jioni kupitia BBC dira ya dunia, atakuwepo Polepole na wadau nguli wa tasnia ya habari, usikose, pia unaweza kutanguliza maoni yako.
  14. kivyako

    Je kunyolea magic powder kuna madhara?

    Nimekuwa kama nina addiction ya kutumia magic powder kwa kunyolea maana inafanya kidevu kiteleze na haileti vipele, sasa nauliza kama kuna madhara yoyote kuitumia mara kwa mara, na kama yapo ni alternative ipi naweza kufanya kunyoa ndevu? Maana viwembe vinaniletea vipele Asanteni
  15. kivyako

    Kauli mbiu ya mazoezi kila mwezi

    Picha zinaongea zaidi, like father like son!
  16. kivyako

    Pata picha ingekuwa ni hapa hapa Bongo!!

  17. kivyako

    i wapi nguvu ya mahakama/sheria?

    Kuna msemo umezoeleka usemao 'iache sheria ichukue mkondo wake' naona huu msemo unalekea kupoteza maana, hatuna subira tena ya kuiacha sheria ichukue mkondo wake, maamuzi yanatolewa na wadau wasio na taaluma ya sheria kupitia mitandao ya kijamii, na viongozi wetu wanamalizia bila kujali kuwa...
  18. kivyako

    Huyu ni ke/me?

    Kipindi kinaendela TV1, ila sijaelewa huyu jamaa ni nani na je ni ke /me?
  19. kivyako

    Uchochezi

Back
Top Bottom