Kumbukizi

Kumbukizi

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,068
7fa68b24caf5345d4654fd177c70dd27.jpg
 
Unajua hata tukianza kutafuta maana ya dikteta !! Kila mtu atatafasiri kutokana na upande wake .


Hitler nalichukia kwa kitu kimoja , kuwatesa waisrael ( Taifa Teule) .jamaaa liliwatesa mpaka mnoo bora tu lilivyomalizwa .
 
wanaweza wakachukiwa lakini huwenda ikawa nchi zao zisingefika hapo zilipo kama wasingekuwepo wao!
Acha kuwajaza watu upepo.najua unataka kutetea udikteta uchwara wa MTU Fulani.kwani bila kuua hauwezi kuwaletea maendeleo wananchi wako?
 
Nimevutiwa na 'heading' ya huu uzi.
 
Back
Top Bottom