kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,049
Nimekuwa kama nina addiction ya kutumia magic powder kwa kunyolea maana inafanya kidevu kiteleze na haileti vipele, sasa nauliza kama kuna madhara yoyote kuitumia mara kwa mara, na kama yapo ni alternative ipi naweza kufanya kunyoa ndevu? Maana viwembe vinaniletea vipele
Asanteni
Asanteni