Sisi tunaotumia ndege hayatuhusuMitaa ya kibaha misugusugu huku kuna kamba si ya nchi hii, barabara imejaa magari kwa zaidi ya lisaa hakuna gari linalosogea, mbadala mnaweza kupitia njia ya bagamoyo
Sisi tunaotumia ndege hayatuhusu
Nimeshakata tiketi ya Kwenda Morogoro unanishaurije?Mitaa ya kibaha misugusugu huku kuna kamba si ya nchi hii, barabara imejaa magari kwa zaidi ya lisaa hakuna gari linalosogea, mbadala mnaweza kupitia njia ya bagamoyo
siku hizi kuna masaa ya kitumia hio barabara.. around saa 5 asbuhi mpaka saa 8 mchana ivi ndo inaaachia.. ukijichanganya ukataka kutoka asbuhi dar au ukataka kuingia dar jioni through morogoro road umekwisha. foleni ya jioni inaanzia mlandizi.. hapo ni 5 hrs mpaka ubungo