Aisee ni kweli kabisaa man.....maisha yanaenda mbio sana.....pia life ni unpredictable!!!......kutoka mtu kupigwa tanganyika jeki mpaka...........daaah noma sana..........
Basi letu halina breki, kuna wakati likifika mlimani linakosa nguvu na kurudi nyuma. Kabla ya dereva huyu walau tulikua tunashuka kulisukuma ila dereva tulienae sasa anasema mtafika tu hataki ushirikiano.. lakini sioni kama tunaenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.