Don't miss the show[emoji23]

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,347
12,044
Mtanange huu wa heavy weight utarushwa mubashara na kituo chetu pendwa cha kizalendo cha luninga cha pale Bamaga hapo tarehe 21/01/2019, usikose
IMG_20190118_131259.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof Alhaj Mussa Assad keshamaliza kazi. Kawaambia maneno kama udhaifu (weakness) ni ya kawaida mno kwenye fani ya Uhasibu. Sasa wapi kamati iliyojaa vilaza itaweza kupambana na Professor?
 
Prof Alhaj Mussa Assad keshamaliza kazi. Kawaambia maneno kama udhaifu (weakness) ni ya kawaida mno kwenye fani ya Uhasibu. Sasa wapi kamati iliyojaa vilaza itaweza kupambana na Professor?
Ni sawa na kuongelea kesi iliyoko mahakamani, kavuruga ushahidi na kuwa pre empty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom