Search results

  1. Wakili wa shetani

    Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji

    Ni vyema wakatafuta bei ya wastani. Wa kijijini apunguziwe na wa mjini wa ongezewe ili wote walipe bei sawa.
  2. Wakili wa shetani

    Simba ndiyo timu pekee iliyofungwa kwenye round ya kwanza ya robo fainali CAFCL

    Wenzao wote wamekazana wametoa sare. Ni "Nyuma Halali" pekee ndiyo waliofungwa. Hii ni aibu. Katika timu nane ufungwe we mwenyewe tu! Una gundu gani?
  3. Wakili wa shetani

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Nyuma Halali wamejaza uwanja na mechi siyo yao!?
  4. Wakili wa shetani

    Niko polisi imepigwa filimbi ya kushusha bendera watu wote wakasimama! Hii maana yake nini?

    Hiyo ni idol worship. Mtu yeyote mwenye kumuabudu Mungu hatakiwi kufanya hiyo ibada.
  5. Wakili wa shetani

    Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Kwenye kunyongwa mshipa wa fahamu huwa unakata fasta, ndani ya sekunde tu. Kutapatapa zinakuwaga fujo tu.
  6. Wakili wa shetani

    FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    Naitwa Dotto kutoka Nyakanazi. Naitakia Jwaneng Galaxy ushindi wa goli mbili bila. Ujumbe: Ushabiki wa mpira wa miguu hauna mipaka.
  7. Wakili wa shetani

    Ujamaa's Echo: Uravelling Nyerere's Legacy Amidst Silence

    Nikiwa kama wakili wa shetani nasema Nyerere hatapata utakatifu ng'o
  8. Wakili wa shetani

    Catherine Kahabi afurahia kuungua kwa kitambaa cheupe asema lilikua ni chimbo la Mashoga

    Hivi vichwa vya watu wa Dar vinaukubwa gani? Wanapata wapi nafasi ya kuwaweka wakina Catherine Kahabi!!?
  9. Wakili wa shetani

    FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

    Yanga ndiyo wangepangwa hili kundi, wangekuwa wanaongoza na wameishapita.
  10. Wakili wa shetani

    Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

    Hivi si inatakiwa wakati wa mifungo ya Ramadhani na Kwaresma mahitaji ya vyakula yapungue sana?
  11. Wakili wa shetani

    Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Ni kama baba wa familia maskini, lazima asubuhi atoke hata kama hajui anaenda wapi na kufanya nini. Asafiri tu.
  12. Wakili wa shetani

    EFM vs CHADEMA, ni Ubunifu wa kufukuza Wateja (Wasikilizaji). Media ndogo Jifunzeni Star tv kwa Mzee Diallo wa CCM

    Waandishi wa habari wana haki ya kumkejeli yeyote yule, Ilmradi tu hawavunji sheria za nchi, walindwe.
  13. Wakili wa shetani

    Wachumi naombeni Elimu juu ya uhusiano ufungaji wa maduka ya kubadili fedha na uhaba wa fedha za kigeni nchini

    Si umeanza wewe kwa kusema nina ubishi wa vijijini. Hauna hoja yoyote ya maana. Umesafiri lakini bado mshamba wa jinsi dunia inaenda.
  14. Wakili wa shetani

    Wachumi naombeni Elimu juu ya uhusiano ufungaji wa maduka ya kubadili fedha na uhaba wa fedha za kigeni nchini

    Hakununua kwa Yuan. Alinunua kwa dola. Dola zikiingia kwenye serikali ya China.
Back
Top Bottom