Search results

  1. L

    SoC02 Utengenezaji wa pesa kupitia haki za miliki bunifu

    Bila shaka sote tumekuwa mashahidi wa udhihirisho wa ukweli kuwa‘’siku zote mwanadamu anapambana kupunguza maumivu na kuongeza furaha’’ hususani kwenye nyakati za leo za maendeleo ya sayansi na teknolojia. Jambo hili limechochea biashara na utengengenezaji wa pesa kupitia haki za miliki bunifu...
  2. L

    SoC02 Upimaji wa taaluma vyuo vikuu vya serikali na ufanisi wake

    Suala la upimaji wa taaluma vyuo vikuu hasa vile vya serikali,limefikia hatua ambayo linahitaji serikali kuingilia kati ili kuifanya elimu ya juu kuleta matunda tarajiwa kwa taifa. Niukwel usiopingika kuwa elimu ya Tanzania hususani ile ya vyuo vikuu imekuwa ikionekana kupungua ubora wake kila...
  3. L

    SoC02 Ukusanywaji wa tozo na mchango wake kwenye Uchumi wa Taifa

    Uhai wa serikali yoyote unategemea mapato inayoyakusanya ili kuendesha mipango yake katika nchi. Na nguzo kuu ya mapato hayo huwa ni wananchi waliyoipatia dhamana serikali hiyo hasa kwa njia ya kodi. Lakini nakumbuka kanuni za ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kodi zilizotolewa na mwanafalisafa...
  4. L

    Hodi humu ndani

    Mimi ni mgeni nnaomba mnikaribishe
Back
Top Bottom