Search results

  1. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Namba ya sim 0629081432. Nimewafuta sana ofsin lakin majib hayaridhishi..
  2. S

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Buseresere chato. Nimelipia umeme toka mwezi wa 12 mwaka jana. Transfomer ipo uwanjani kwangu. Kuunganishwa tu imekua shida. Eneo nililopo ni buseresere mapinduzi
  3. S

    Kijana usijidanganye: Shoo peke yake haitoshi kukufanya usiachwe

    Kwa kifupi sana. Mwanaume hata wakipangana warembo 100. Akaambiwa achague mmoja. Roho itabaki inamuuma kwa kuwaacha hao 99. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    DIT yapata pigo kifo cha mkufunzi Stanley Mwakalembe

    RIP.. Polen sana wanafamilia ya Cofamily.. alikua mwalimu wa Idara ya Computer.. tumepata pigo sana hususan Beng 06,07,08 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    tatizo umeshiba upinzani na kuvimbewa ubishi
  6. S

    Niliwaambia kumfunga Algeria haiwezekani

    tumemfunga goli 2,
  7. S

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    simba mwenda pole ndio mla nyama,, dk. kaleman anaweza kuwa spika
  8. S

    Software kwa Ajili ya Pharmacy (Pharmacy Management System)

    Ninauza software kwa ajili ya kuendeshea duka la madawa. Software inafanya yafuatayo:- Hapa naorodhesha baadhi tu Kama kunadawa ndani ya duka zinakaribia kuisha muda wa matumizi Itakupa taarifa. Kuweza kuelewa thamani halisi ya dawa ulizo nazo ndani ya duka. Kama una maduka mawili au zaidi...
  9. S

    SQL Server 2012 Msaada Tutani Wadau

    itoe.. halafu uinstall sql server..
  10. S

    SQL Server 2012 Msaada Tutani Wadau

    angalia kama .net 4.0 - 4.5 kama umeinstall before. inabid uitoe then install. yenyewe itakua na .net yake ambayo itainstall wakat ukiwa unaintall server
  11. S

    Jamhuri: Pinda agongana na bilionea Dar!

    pole sana.. dawa yao nikuwasomea albadr majibu mungu atatoa..
  12. S

    Programming kwa wanaoanza...mawazo yenu!!

    soma c#,vb.net.. kwa c# ni powefully. ukifaham vizuri c sharp java nikama kusukum mlevi....
  13. S

    Msaada jinsi ya kupata sponsership ya serikali pale D.I.T

    kuna sponsor za wakina dada. kama wew ni mwanamke kuna kozi utaenda pale utasoma kwa wiki kumi. ukiwa umefaulu unaweza ukapata
  14. S

    Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    Kwan yeye sio raia watanzania had azuiliwe asitoe maon yake...
  15. S

    Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    Ukweli ulio wazi, Polisi hawa ndio chanzo cha kuvuruga Amani Yetu Kama nikweli walikua wanamtafuta shekh ponda walishindwa nini kumuambia Shekh Ponda Popote pale alipo ajisalimishe kituo chochote cha polisi kama walivyo fanya kwa Mh. Mbowe, Nasari n.k Kodi yetu tunayo lipa Ndio inayo geuka kua...
  16. S

    Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    unge disco kwanza wewe. kama hausomi unategemea nin. ukipanda bangi utavuna bangi na sio mchicha
  17. S

    CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

    kama chadema wanafanyia mikutano yao kanisani. kusa gan ccm kufanyia mkutano mahali ambapo kuna ulinzi wa kutosha
Back
Top Bottom