Search results

  1. mayome

    Dawasa wanatupiga

    Nimefanya tathimini nikagundua hizi mita za maji hapa Dar ni majanga sana. Yaani hata ukiwa umesafiri bili inakuja ileile na mita inatembea. Kuna kitu hakipo sawa kwenye mita za maji jamaa wanatupiga. Wanatuumiza sana jamani was galleries tena ufanisi wa mita zao.
  2. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika. Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji linanirudisha nyuma. kwaufupi maelezo ni haya hapa 1. Aina ya biashara tarajiwa ni BUTCHERY SHOP 2. Eneo ni...
  3. mayome

    Wazo makini la biashara nahitaji partiner mwenye 3-4 Mills za Tz

    Habarini wote muliopata hamasa kusoma nilichoandika. Mimi niko na biasha fulani ambayo kwa sasa ipo vizur kwa kiasi. ila nataka kuanzisha line nyingine ya biashara ila swala lamtaji linanirudisha nyuma. kwaufupi maelezo ni haya hapa 1. aina ya biashara tarajiwa ni BUTCHERY SHOP 2. Eneo ni...
  4. mayome

    Sura mpya ya gesi ya Lindi na Mtwara

    Ni dhahiri kwamba wapinza wamewapotosha wananchi kuhusu gesi ya mtwara na lindi na kusababisha hasara kubwa kwa Taifa, mimi najiuliza hivi kweli Profesa Lipumba ulishindwa kufanya "cost benefit analysis" ili kujua kipi bora kusafirisha gasi au kusafirisha umeme? Nimemtaja profesa kwakua...
  5. mayome

    Land rover for sale

    Habar Yako mwana Jamii Land Rover 110 cc 2500 ya mwaka 1998 imetembea umbali usiozidi kilometer 250,000. inauzwa kwa bei ya Tsh. Million saba na nusu (7,500,000/=) Sasa nimeweka picha kwa wale waliokua wakihitaji picha wanaweza kujionea. pia unaweza kuja kuona gari yenyewe ipo mburahati...
  6. mayome

    Business partner needed

    Habari zenu wanajamii wenzangu Mimi ni kijana wakiume kwa sasa Shughuli yangu ni usindikaji vinywaji vyenye vileo ( pombe). Katika biashara yangu hii changamoto kubwa ambayo naipata ni ufinyu wa mtaji nilio nao na hivyo kunifanya nishindwe kujitanua na kufanya vizuri zaidi kwenye...
  7. mayome

    Land rover 110 for sale

    Habari zenu wana Jamii. Leo natangaza kuuza LAND ROVER 110 MAKE MODEL 1998 300 SERIES. Ipo katika hali nzuri sana na imelipiwa kodi zote hadi mwaka 2013 Bei yake ni 7,500,000/= Tunaweza kuzungumza kidogo sana kuhusu bei. Gari ipo Mburahati DAR ES SALAAM Hii ni mali yangu nahitaji mnunuzi na...
  8. mayome

    Jiko linalotumia mafuta/oil chafu linatakiwa (maelezo kuhusu upatikanaji wake ni msada muhimu)

    :bange:Hi, wanajamii. Natafuta fundi wa majiko yanayotumia mafuta machafu/ oil chafu na yale yanayotumia makaa ya mawe kwajili ya matumizi binafsi. kwa sasa nipo mbeya mjin lakin nitakua tayar kuyafuata popote yalipo. Nahitaji majiko yenye uwezo wa kuchemsha lita 200 hadi 500 kwa mara moja...
Back
Top Bottom