Land rover 110 for sale

Land rover 110 for sale

mayome

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
62
Reaction score
21
Habari zenu wana Jamii.

Leo natangaza kuuza LAND ROVER 110 MAKE MODEL 1998 300 SERIES.
Ipo katika hali nzuri sana na imelipiwa kodi zote hadi mwaka 2013

Bei yake ni 7,500,000/= Tunaweza kuzungumza kidogo sana kuhusu bei. Gari ipo Mburahati DAR ES SALAAM

Hii ni mali yangu nahitaji mnunuzi na wala sio dalali (DALALI HATAKIWI)

Ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa simu No. +255713500504 au email address: georgematayo570@yahoo.com

TAFADHALI SIHITAJI COMMENTS WALA PMS/PRIVATE MASAGES KWAKUA HAZITA JIBIWA
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Aina gani (body type)? - single cab ama?
 
Habari zenu wana Jamii.

Leo natangaza kuuza LAND ROVER 110 MAKE MODEL 1998 300 SERIES.
Ipo katika hali nzuri sana na imelipiwa kodi zote hadi mwaka 2013

Bei yake ni 7,500,000/= Tunaweza kuzungumza kidogo sana kuhusu bei. Gari ipo Mburahati DAR ES SALAAM

Hii ni mali yangu nahitaji mnunuzi na wala sio dalali (DALALI HATAKIWI)

Ambaye yupo tayari tuwasiliane kwa simu No. +255713500504 au email address: georgematayo570@yahoo.com

TAFADHALI SIHITAJI COMMENTS WALA PMS/PRIVATE MASAGES KWAKUA HAZITA JIBIWA

................................................
 
Mkuu picha Tafadhali ....... ina cc ngapi hiyo engine yake?
 
Hiyo Land Rover ni P / UP au salon,imetembea kilometa ngapi,hali ya body ikoje ikiwezekana weka picha.
 
Mkuu funguka zaidi unaweza kuwa unauza kitu kizuri lakini mikwara ikaharibu.
Niko mkoani lakini nawezatuma mtu akaja kuangalia! Weka vizuri mkuu ni S/wagon ama ni pick up! Ni short chassis ama ni long. Engine ni standard ama ushaifanyia mautengenezo mara kadhaa nk!
 
body type ni station wagon cc 2500 keshontaweka picha yake ya hivi karibuni na kusoma kilometer ilizo tembea
 
Ok. ngongo body iko vizuri ni station wagon cc 2500 kesho ntaweka picha yake na ntaweka kilometer/umbali ilio tembea
 
Mkuu funguka zaidi unaweza kuwa unauza kitu kizuri lakini mikwara ikaharibu. <br>
Niko mkoani lakini nawezatuma mtu akaja kuangalia! Weka vizuri mkuu ni S/wagon ama ni pick up! Ni short chassis ama ni long. Engine ni standard ama ushaifanyia mautengenezo mara kadhaa nk!
<br>

Nimekupata Eeka Mang that gd advice! hii kutu ni long chassis station wagon cc 2500 kesho ntaweka picha yake ya hiv karbuni pamoja na umbali iliotembea.
 
Ok. ngongo body iko vizuri ni station wagon cc 2500 kesho ntaweka picha yake na ntaweka kilometer/umbali ilio tembea

Utuambie yafuatayo pia; Ni Defender/ Freelander/ Discovery?Engine gani, Tdi, Td 5, Td .... au? Ni la Diesel/ Petrol? Limeingizwa nchini lini na limetoka nchi gani? Mileage ni km ngapi? Namba za usajili ni zipi? ni turbo engine? kama ni turbo engine, turbo inafanya kazi?
Mburahati ipi gari lipo ili nitume mtu alicheki.
Ni hayo tu.
 
atakaye shindwa hiyo aje kwangu nina 109 sries 2, ina hali nzuri inatembea, body imenyooka, tairi unaenda mkoa wowote ule ukiwasha. Bei 3.5 mill.
Dalali hutakiwiiiiiii. Kitu kipo Arusha.
 
Jamani tusifanye hapa ni mahali pa kujipandisha chat! Huyu jamaa nimempigia alipatikana mara moja tu from there kaingia mitini! Alikuwa anataka kuuza gari ya mkewe nini! Pole jamaa yangu!
Jamaa wa AR niPM tuongee biashara!
 
atakaye shindwa hiyo aje kwangu nina 109 sries 2, ina hali nzuri inatembea, body imenyooka, tairi unaenda mkoa wowote ule ukiwasha. Bei 3.5 mill.
Dalali hutakiwiiiiiii. Kitu kipo Arusha.

tuwasiliane nione mzigo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom