Jiko linalotumia mafuta/oil chafu linatakiwa (maelezo kuhusu upatikanaji wake ni msada muhimu)

mayome

Member
Jan 17, 2012
62
21
:bange:Hi, wanajamii.

Natafuta fundi wa majiko yanayotumia mafuta machafu/ oil chafu na yale yanayotumia makaa ya mawe kwajili ya matumizi binafsi. kwa sasa nipo mbeya mjin lakin nitakua tayar kuyafuata popote yalipo. Nahitaji majiko yenye uwezo wa kuchemsha lita 200 hadi 500 kwa mara moja

naomba msaada wa mahali yanapopatikana au mtu/kampuni inayotengeneza kwa kunipa: namba ya simu, email adress, physical adress etc

mwenye maelezo anitumie privete masage au email: semkiwarama@yahoo.com

AHSANTEN.
 
Teknolojia imekua! Subiri wanaofahamu watakujulisha wapi utayapata but feedback muhimu ili nac 2yanunue.
 
JARIBU KWENDA WIZARA YA SAYANSI NA TECHINOLOJIA wanaweza kuwa na information za huyu mtengeneza haya majiko, kuna kipindi nilionana nae Arusha kwenye maonyesho na alinipa Business Card yake ila nisha ipoteza, na alisema ana pata sapaoti kutoka hiyo WIZARA so ukiwacheki huko wanaweza kukupa information za kumhusu huyu mzee, make walisha wahi hata kumtunuku CHETI
 
Mr/mrs hugo chaves fanya hivyo bwana hii kitu ina husika sana sana!:lock1:
 
Back
Top Bottom