Katika historia ya Tanzania na utumishi wa Umma hakujawahi kuwa na wafanyakazi wawili wala rushwa kama waziri January Makamba na Mkurugenzi wa TANESCO bwana Maharage Chande.
Ukiachilia mbali mambo aliyoyasema CAG kwenye ripoti yake na madudu yakiyofanywa na wawili hawa, tumeshuhudia mwishoni...
Leo asubuhi tumeshuhudia jinsi spika wa bunge Dokta Tulia akihaha kuhalalisha kuwa kikanuni akidi (idadi) ya wabunge imetimia na mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati itaendelea tu japo kuna wabunge zaidi ya 200 wamesusia mjadala wa wizara ya nishati leo asubuhi.
Dr. James Andilile ni mume wa...
Spika wabunge la Tanzania ana kibarua kigumu sana kunusuru na kuhalalisha bajeti ya wizara ya nishati baada ya kulazimika kutoa ufafanuzi leo kuwa ni wabunge 193 tu waliohudhuria majadiliano na kikanuni ni sawa.
Hiyo inafuatia mining'ono iliyokuwepo ndani ya ukumbi wa bunge juu ya uhalali wa...
Bunge letu la Tanzania leo limeingia kwenye historia nyingine ya kuwa kitu cha ajabu sana kwa kauli za Spika Dokta Tulia kuita rushwa kuwa ni kitu cha kawaida kufanyika.
Spika akijua kabisa siyo sawa leo amekitetea kwa nguvu sana kitendo cha wabunge kukubali rushwa ya mitungi ya gesi 100 kila...
January Makamba ufisadi upo kwenye DNA? Kupitisha bajeti tu, umewanunulia wapiga kelele 320 mjengoni 'coupon' za majiko ya gesi ili wasipige kelele?
Kila kichwa mjengoni majiko 100. Hapo ni majiko 32,000, Mtungi wa 6kg ni Sh. 40,000. Hii ni Sh1.28 bilioni. Gharama hizi analipa nani?
Pesa hizi...
Kwa mara ya kwanza katika siasa za Tanzania na kwenye bunge la bajeti tunashuhudia jinsi wizara ya nishati inavyonunua waandishi wa habari na wabunge katika jitihada za kuhakikisha bajeti yao inapitishwa bika mikwamo.
Ni utamaduni mpya sana wa kiutendaji na kwa kweli haijapata kutokea kama...
Mbunge Kingu tumesikia mchango wako kwenye bejeti ya nishati. Ni haki yako kuchangia hivyo kwa kuwa ndicho walichokutuma wananchi wa jimbo lako na unalipa deni la rushwa mliyopokea kwa kazi hiyo mnatofanya sasa.
Tahadhari ni kuwa mnapomhusisha Rais kwenye mambo haya tunawapa angalizo tu kuwa...
January Makamba anasumbuliwa na tatizo kubwa sana la kutojua hesabu na kusema uongo. Anataabishwa sana na kufanya mambo ili kuonekana anafanya makubwa wakati ukweli ni kuwa mbali na maonyesho ya kusaini mikataba kila siku na kuleta porojo za miradi ya umeme bado taifa hili lina matatizo makubwa...
Nimemsikiliza mkulima aliefungua kesi dhidi ya mawaziri na watendaji kadhaa wa serikali kuhusu tuhuma za ripoti ya CAG, ameongea mengi na kutaja wengi lakini kwangu mimi nimegundua jambo, ametaja mawaziri wote na kashfa zao lakini alipofika kwa mwigulu kataja bila kashfa. Anamwingiza Mwigulu...
Hizi ni picha zilizopigwa leo tarehe 4/5/2023 zikiwaonesha vijana manguli wa siasa za Tanzania, Dkt Mwigulu Nchemba, January Makamba na Nape Nnauye wakiwa katika mjadala na tabasamu zito.
Picha hizi zimeibua mijadala mikubwa katika mitandao ya kijamii, baada ya hivi karibu kuiibuka mzozo mkubwa...
Leo tumehitimisha rasmi mbio za urais Mwaka 2025, wote kwa pamoja tumempitisha Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea pekee wa kiti cha Urais.
Mwaka 2030 ni muda mwafaka wa Wakristo kuongoza nchi hii, tunao wakristo wengi sana, wanatutosha kabisa. Hatuna mpango wowote wa kukodi mtu toka dini...
Leo nilikuwa msibani Arusha, kilichonishangaza ni namna Freeman Mbowe alivyoishiwa mbinu na hoja na kuamua kutumia misiba, harusi kufanya siasa zake za kishamba.
Mbowe Leo akiwa kanisani alimwagiza Mpambe wake Ndugu Amani Golugwa aingilie Ratiba ya Kanisa na kulazimisha Mbowe aongee, jambo...
Mbunge wa Mchongo Saashisha Mafuwe ameanza kukurupuka na kuweweseka kutokana na ujio wa Kaka Freeman Mbowe Mwamba na hii ni baada ya Wananchi kumweleza hadharani kwenye mikutano yake ya hadhara kuwa wao wanamtambua Mbowe kama Mbunge wa kuchaguliwa na yeye ni Mbunge wa kuteuliwa.
Hali hii...
Wabunge wa magufuli wanaendea kutuletea kero majimboni, Mfano huyu mafue amekuwa kinara wa migogoro katika vijiji vya nshara na uduru akitaka kuleta uhasama Mkubwa.
Mafue ananuka Damu za Sabaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.