Search results

  1. E

    Mwalim wa kubadirishana tafadhali......[rungwe(w)-mbeya >< (njombe mji) njombe]

    Natafta mwalimu (SEKONDARI) wa kubadirishana kutoka NJOMBE MJI kuelekea MBEYA halimashauri ya wilaya ya RUNGWE... kama upo taari basi tuwasiliane or ni Private mail..... Conts: 0752887166 or 0712765157 me4tz@yahoo.com
  2. E

    Nataka kuachana na ualimu

    Changanya na za kwako kisha fanya maamuzi mzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
  3. E

    Mwalimu wa MATHEMATICS GRADUATE.[Professional] ANATAFUTA KAZI.

    Keep working hard Sir ur time will come, people do talk alot.... but you forget smtms things as simple as to you!!!
  4. E

    Matokeo jimbo la Arumeru mashariki yatakua hivi

    nimeamini umetawaliwa na UJINGA ww! ivi unawezaje kuongea bila AIBU kwa kutamka CDM chama cha UKABILA na iringa, mbeya hii nayo ni mikoa ya kazkazini? hivi ARUSHA na MOSHI kuna ukabila upi hapo kati ya waarusha au maasai na MOSHI? CDM ni chama cha waelevu, wapenda haki na wenye uchungu na nchi...
  5. E

    Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

    aaa wewe nawee...., swala sio kutumia hela, sasa unajua naibu waziri hiyo hela ni yako hata wewe unahaki ya ku shout! sasa nakushangaaa unavyo tetea uwendawazimu................HUJUI USEMALO!!!
  6. E

    Pendekezo: Rais Kikwete mteue Dr. Slaa kuwa mwenyekiti wa Tume ya kutunga katiba

    wewe boya kweli wewe, habari za wake zimetokea wapi tena, tukianza hivyo mbona unaweza kushangaa hata huyo unae mwita rais amekujaje hapo na rundo la wake..............
  7. E

    KIKWETE: Leteni Majina ya Wajumbe wa KATIBA niwateuwe!

    wewe wa wapi ina maana huja experience vitu kama hivi???? au na wewe ndio wale wale nini?/ mtoto, mjomba wa mkuu wa wilaya nini? TRY BE OPTIMISTIC
  8. E

    Ivi inawezeka ni Fitna kwa Mtoto wa Rais?

    unajua aibu yake inakuja wapi, ni hivi shule wenzie wote wapata one na two haliafu yeye pekee amepata 4, huoni kama alikuwa zezeta wa mwisho? coz shule yenyee imetoka ten bora yaani ya pili kitaifa.
  9. E

    Matokeo ya kidato cha nne kikwete nae ahusika... Tena kwa aibu feza girls!

    kwa habari zaidi ebu chek hapa........"feza girls" aaibisha kwa kuibuka na division iv pekee huku wengine waking'ara vema........ http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
  10. E

    Naomba uniondolee utata ''its not clear with me''

    sina shaka mzee, wewe utoe jibu la ombi langu kama huna 'you just skip' kwa wanaoweza kutoa michango yao, not necesary to comment on evrything hata kama huna data... nyie wabongo vip?
  11. E

    Naomba uniondolee utata ''its not clear with me''

    Excuse me mdau!! Mimi in fresh teacher sasa, sijui hawa jamaa (Halimashauri husika) wanatakiwa watoe pesa kiasi gani kwa ajili ya mwajiliwa mpya kujikimu. maana nimeuliza kwa baathi naombiwa majibu mengi sasa nimeshindw lipi ni kweli basi nimeamua kuja hapa JF kuondoa utata na kupata data kamili...
  12. E

    Kwa mdau mwl au yeyote "naomba kujua''

    thank you kaka for you have been doing great to help others with problems.... keep it up!
  13. E

    Kwa mdau mwl au yeyote "naomba kujua''

    asante, kaka kwa msaada wako and i normally appriciate ur contributions in JF! Keep it u
  14. E

    Walimu acheni ujinga hebu nendeni sehemu mlizopangiwa.

    MIMI SINA LA KUSEMA COZ wewe unafaa kuitwa majina yote yanayo mfaa kwa asie na kichwa kizuri. yaani tukuonyeshe milembe hospital ilipo coz you cant talk this nonsence kwenye forum mhim kama hii....... TAKE AWAY UR STUPIDITY!!!!!!!!
  15. E

    Kwa mdau mwl au yeyote "naomba kujua''

    hey jf team mmbrs! naomba kuuliza hivi kwa mwl anaeanza kazi kama mimi (degree holder) basic na take home ni shiling ngapi kwa tz ili nianze namna ya kujipanga mapema! ASANTE! KWA MSAADA WAKO!!
  16. E

    Mwl.aliye tayari!...

    KWELI WATU SIO WAZALENDO, KWANI HUKO UNAKO KATAA UNATAKA NANI AENDE? ISN'T IT NOT PART OF UR COUNTRY? Haaaaaa, mnatukera kwa kweli.... sasa ambaye hana kazi asemeje? mnataka mpewe nini ndipo mshukuru Mungu? mpewe mawe ndio mtashukuru? LAAAHASHA! msitutie kiwewe ambao hatuna kazi hebu nendene...
  17. E

    Wenyeji wa rungwe-mbeya au yeyote!

    Salaam mpendwa natumaie upo mzima wa afya. NAOMBA kwa yeyote anae weza kunipa contacts za elimu utawala (afisa elimu) rungwe-wilayani/tukuyu. au kama una uelewa kamili wa rungwe kiujumla naomba unisaidie namba yako pia nikutafte private zaidi. please your help is highly valued.... THANKS
  18. E

    Please help for contacts mdau!

    Wadau...salaamun. Naomba kwa yeyote anaeweza kunisaidia contacts za utawala elimu (afisa elimu) Mbeya -rungwe wilayani. unisaidie kwa kunitumia kwenye private messege au vyovyote! NITA KUSHUKURU SANA KWA HILI!
  19. E

    Anatakiwa Msichana wa Stationery & Internet Cafe

    this are nonsense advertisements, why cant u be specfic on how a person shuold contact you!? please pay respect to jf as potential web national wise and international
  20. E

    Bot

    nooooo! i dont think otherwise we could have dropped the information in jf... so be partient men!!!
Back
Top Bottom