Naomba uniondolee utata ''its not clear with me''

elia mgina

Member
Dec 29, 2011
27
2
Excuse me mdau!! Mimi in fresh teacher sasa, sijui hawa jamaa (Halimashauri husika) wanatakiwa watoe pesa kiasi gani kwa ajili ya mwajiliwa mpya kujikimu. maana nimeuliza kwa baathi naombiwa majibu mengi sasa nimeshindw lipi ni kweli basi nimeamua kuja hapa JF kuondoa utata na kupata data kamili kwani nasikia usipo kaa vizuri unaweza kuchakachuliwa pia katika hiyo pesa ya kujikimu.

I VALUE & APPRECIATE YOUR IDEAS!!

"MUCH THANKS"
 
we unauhakika wa kazi bado unamashaka...vp ss huku kitaa...nenda eneo la kazi tena mwisho ni kesho.
usihofu kwani ukiwa mwalimu neno malimbikizo lazima ulizoee...
 
umepangwa wapi?? Kuna kima kutokana na eneo...
Jiji/mji au hamashauri... Mwaka jana tuliokuwa mijini tulikula jiwe9 na 10 (elfu 65,000 per day kwa siku 14) hizi ni za kujikimu/subsistence allowance
Bado za miziko.... Tafuta waraka wa watumishi wapya wa serikali
 
we unauhakika wa kazi bado unamashaka...vp ss huku kitaa...nenda eneo la kazi tena mwisho ni kesho.
usihofu kwani ukiwa mwalimu neno malimbikizo lazima ulizoee...

sina shaka mzee, wewe utoe jibu la ombi langu kama huna 'you just skip' kwa wanaoweza kutoa michango yao, not necesary to comment on evrything hata kama huna data... nyie wabongo vip?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom