Kwa mdau mwl au yeyote "naomba kujua''

elia mgina

Member
Dec 29, 2011
27
2
hey jf team mmbrs! naomba kuuliza hivi kwa mwl anaeanza kazi kama mimi (degree holder) basic na take home ni shiling ngapi kwa tz ili nianze namna ya kujipanga mapema!

ASANTE! KWA MSAADA WAKO!!
 
Wakuu samahani nami nahitaji kujua katika hyo basic na take home inamaana take home kama ulikuwa na mkopo toka kwa bodi ya mikopo hyo 40,2000 hata zile pesa za mkopo zinakuwa zishakatwa kwa mwezi na je makato ni costant kwa watu wawili waliokuwa na mikopo tofauti?
 
Back
Top Bottom