Search results

  1. BINARY NO

    Special Thread! Vifaa Mbalimbali vinavyotengenezwa IRAN

    Baada ya IRAN kuongelewa ivi karibuni kihusu Drone zake za Kamikaze na hivo kizua mijadara mbalimbali Duniani.. Imebidi tuje na Uzi maalumu utakaokua unaonesha Technology ya IRan ktk utengenezaji wa vifaa mbalimbali mf vya Kijeshi, hospitals, magari na kadhalika... Uzi huu ni open kwa kila...
  2. BINARY NO

    Tank kubwa la Nyasaka linmwaga maji na kuharibu makazi ya watu. MWAUWASA mnafahamu?

    Tunaomba kujua kutoka kwa Meneja wa MWAUWASA Mwanza kua hivi huu ndio utaratibu wa Hili Tank kubwa la JR huku Nyasaka kumwaga Maji namna hii. Hiko hivi Haya ma tank makubwa yaliyojengwa na serikali hivi karibuni yamewekewa outlet chamber kama ikitokea yamejaa sasa hizo outlet zimeelekezwa...
  3. BINARY NO

    Kero: Wanalipia Huduma ya kuunganishiwa umeme halafu TANESCO wanadai kuwa Meter za Luku hazipatikani

    Wadau salama! Kuna ongezeko La Rushwa katika shirika letu hili. Siku za ivi karibuni Utendaji na utoaji Huduma TANESCO umegubikwa na wimbi la ajabu la watendaji wake kuomba rushwa ili upatiwe Huduma. Huduma zimezidi kuwa mbovu achilia mbali mgao wa kudumu uliopo nchini ili la watu/wateja wa...
  4. BINARY NO

    Mapaka kufika Desemba, bei ya petroli itakuwa zaidi ya Tsh. 3000 kwa lita

    Tujiandae kwa hili linaloendelea Duniani kwasasa... Bei ya Mafuta tutegemee kupanda hadi kufikia 3000 au zaidi km trend ya mambo ya kidunia hayatabadirika kwasasa. Tuombe Mungu Iran vikwazo viondolewe ili irudi ktk soko la Dunia... Tuombe Mungu mgogoro wa Russia/Ukraine uishe japo sio sasa...
  5. BINARY NO

    Taa za Barabarani za Solar nyingi haziwaki kwa sasa

    Baada ya wakandarasi kufunga hizi Taa barabarani na kuondoka hatujui ninani anaepaswa kuzifanyia service.. Nilitembelea Mwanza ivi karibuni Likizo barabara ya Maduka Tisa iliwekewa taa miaka 2 iliyopita lakini zinazowaka hazifiki ata 5 Barbara nzima kuanzia Buzuruga hadi Pasiansi... Je kandarasi...
  6. BINARY NO

    Mlipuko Mkubwa watokea katika Kiwanda cha kutengenezea Makombora uko Israel

    A powerful explosion has rocked a sensitive Israeli missile factory during a test for advanced weapons, according to a report. The explosion took place on Tuesday during a 'routine test' by the Tomer factory for advanced weapon, Israel's Haaretz daily newspaper reported on Wednesday. There...
  7. BINARY NO

    USAF F-22 Raptor stealth fight jet Crashes

    F-22 Raptor CRASHES, pilot in stable condition ---- Ndege ya Jeshi la Marekani imeanguka wakati wa mafunzo huko Florida, Rubani amepona baada ya kutua salama --- A US Air Force F-22 Raptor jet has crashed during a training flight in northwest Florida. The pilot survived after ejecting...
  8. BINARY NO

    Iran's Revolutionary Guards Launch 1st military satellite into Orbit Successfully

    Baada ya failure za kupeleka satellites kadhaa hatimae Iran Leo hii imefanikiwa kurusha satellite ya kijeshi yenye matumizi ya kijeshi angani....Tutegemee US,Israel na NATO kulaumu maana apo awali walikua wakihituhumu Iran kua satellite zake uenda zikawa na matumizi ya kijeshi --- An Iranian...
  9. BINARY NO

    US kuathirika zaidi ndani ya wiki zijazo kuliko nchi yoyote

    Kulingana na Takwimu ya idadi idadi ya maambukizi mapya kwa siku tutarajie vifo vingi kwa Siku kuliko hata Italy au Spain. Kuna wadau humu walisema US anapima watu wengi ndo maana anaonekana ana maambukizi lakini idadi ya vifo vikiwa vichache. Tatizo hata hao wanapatikana inabidi waanze...
  10. BINARY NO

    US confirms Iran downed its Drone

    https://www.ynetnews.com/articles/0,7340,L-5528992,00.html Baada ya kukataa kua hakuna drone yoyote iliyoangushwa na majeshi ya Iran muda ni mwalimu mzuri Iran walitoa video ikioneshwa drone ikiwa angani inawaka moto! Sasa US wamethibitisha kua drone yao aina ya RQ-4 Global Hawk imeangushwa...
  11. BINARY NO

    Iran yatungua Drone ya US RQ-4 Global Hawk

    Katika hali ya Uhasama inayoendelea baina ya US na Iran Leo Iran imeitungua Ndege isiyokua na Rubani aina ya Global Hawk uko mashariki mwa Iran maeneo ya Jask! RQ-4 Global Hawk ni aina ya Drone inayotegemewa sana na Marekani ktk masuala ya Intelligence, kwani sifa yake kubwa ni kupaa ktk...
  12. BINARY NO

    Iran Unveils New Air Defense Missile System

    https://www.tasnimnews.com/en/news/2019/06/09/2028057/iran-unveils-new-air-defense-missile-system Ukiwa na Nguvu utadumu ktk hali zote! Huu ni msemo maarufu kwawenzetu wazungu! Iran ineendelea kujiimarisha kiulinzi ambapo leo J2 Imezindua likifaa lingine la kutungua midege vita ikiwemo Zile...
  13. BINARY NO

    The Iranian missiles considered by the United States as a threat to security - Al Arabiya English

    https://english.alarabiya.net/en/features/2019/05/19/The-Iranian-missiles-considered-by-the-United-States-as-a-threat-to-security.html Baadhi tu ya Makombora ambayo US anasema Iran inatishia Usalama wa Marekani! Ikiwa vita ya Maneno ikiendelea kati ya Marekani na Iran nimekutana na huu Uzi ktk...
  14. BINARY NO

    Watumishi wa Umma Msitegemee Ongezeko la Mishahara 2020

    Ukweli Mchungu! Wasalaam Watumishi wa Umma, Poleni na majukumu na Uzalendo wa kuendelea kulitumikia Taifa letu hili! Kwanni Nimesema Watumishi wa Umma Msitegemee Ongezeko la Maslahi 2020 ni kwasababu zifuatazo:- 1.Rais wa awamu ya Tano amevuruga uchumi wa toka 07%hadi 04% kulingana na Tafiti za...
  15. BINARY NO

    Iran power Generation tops 80,053 MW... Tanzania power Generation below 2000MW

    Duh ktk pitapita zangu nimeshtuka kuona hii Nchi yenye ma sanctions kila kukicha eti wanazalisha umeme zaidi ya Megawatts 80,000 na kuuza ktk nchi zote wanazopakana nazo km Turkey,Irak,Pakistan nk nk Uku Tanzania tokea Uhuru hadi Leo hii hatujawahi fikisha ata Megawatts 2000 na bado tunahubiri...
  16. BINARY NO

    Iran yatengeneza Submarine 2 Mpya

    Apo Jana jeshi la wanamaji wa Iran lillikabidhiwa Manowari mbili mpya kabisa ambazo zimetengenezwa nchini umo! Manowari zikizokabidhiwa apo Jana zinauwezo wa Ku sail kwenye shallow water of Persian golf na kuweza kubeba silaha km missiles,torpedoes na under water explosive.... Pia kiongozi wa...
  17. BINARY NO

    Iran unveils New Military,Mine Resistance Track

    Iran Unveils New Military Vehicle - Tasnim News Agency No wonder kwanini US amekua akiiwekea vikwazo Iran kwa zaidi ya Miaka 40 lengo ni ku slow down nguvu yao ya maendeleo ktk kila sekta na kua super power middle east lengo ni kubalance power kati ya wapinzani wake Israel na Saudi Arabia....
  18. BINARY NO

    Iran yaanza uzalishaji wa ndege vita mpya kwa wingi

    Iran Launches Homegrown Fighter Jet Production Line - Tasnim News Agency Iran Leo imeanza kutengeneza kwa wingi ndege zake ambazo kila kifaa kimetengenezwa nchi umo....Hii sio ndege ya kwanza kutengeneza na Iran lakin zilizopita baadhi ya vifaa viliagizwa nchi nyingine maana huwez masta kila...
  19. BINARY NO

    Msaada! Mtoto ana Mwaka na miezi 3 ila kaota jino moja tu

    Wajameni wana JF hii imekaaje mtoto ana mwaka na miezi mitatu ila kaota jino moja tu kiasi inaleta wasiwasi....Wadau wenye ujuzi hii imekaaje
  20. BINARY NO

    Nini kilichopelekea Rwanda kubadilisha haraka maamuzi yake ya kukataza Adhana

    Ikiwa ni Chini ya Masaa 24 tu Serikali ya Rwanda imebadirisha maamuzi yake ya kuzuia Adhana jambo ambalo limezua uvumi kua nini kimepelekea Kagame kusitisha maamuzi ayo haraka hivyo...
Back
Top Bottom